Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Eti Dawa ya UTI unauwita ni ugonjwa katika karne kama hii ukiwa kwenye bara la watu weusi hususani Tanzania, wapo watu wanavituko kwelikweli wanakwambia wanaumwa UTI kila mara, UTI sio ugonjwa...
14 Reactions
17 Replies
29K Views
Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri...
1 Reactions
0 Replies
843 Views
Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni...
9 Reactions
86 Replies
2K Views
Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie...
2 Reactions
4 Replies
440 Views
Habari wakuu. Nilikuwa na shida ya UTI kwa muda ilinisumbua nikaja nikatumia dawa hasa za mitishamba ikaisha maana za dukani zilidunda zote. Shida ni kwamba bado mkojo unakuwa unachoma ila...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Uti wamgongo unatokana na namna ya kubeba vitu...au kazi unazo fanya...kitanda unacho lalia na mambo mengi tu. Sidhani kama sex inahusika na uti wa mgongo...kukujibu swali lako, yeap unaweza...
0 Reactions
53 Replies
196K Views
wiki ilopita niliumwa U.T.I, Nikandikiwa dawa inaitwa AZUMA nimemaliza dozi juzi lakin bado sijapona,dhakari bado inauma wakat wa kujojoa,afu kinachonikera zaidi kuna vimaji maji vyuepe vinatoka...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Diclofenac is a nonsteroidal anti-inflammatory drug (NSAID) used to relieve pain and inflammation. While effective, it comes with potential risks, especially with long-term or high-dose use. Some...
3 Reactions
6 Replies
980 Views
Naomba kuuliza:- 1. Hivi mwanamke akifanya sex na mwanaume 1 leo na akameza p2 then kesho kutwa ake akafanya tena sex na mwanaume wa 2 Ikatokea akawa na mimba je iyo mimba inakuwa ya mara ya 1...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu wa afya, Nimezunguka kwenye hizi General hospital kubwa kubwa ila baada ya miezi 3-6 naenda tena kuziba jino kwenye fizi. je ni Hospital gani Dental clinic kwa ajili ya Meno tuu hapa...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za hapa, hivi hapa Dsm wapi naweza pata physiotherapy massage ile ya ku strength viungo vina lia kama vinekakama .. unavutwa mpaka sikio linaitika! Mwili umechoka umebana vibaya mno! Nipe...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
Amani ya mola daima iwe juu yenu wakuu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ningewaomba tuelimishane na kupeana ushuhuda juu ya mimea mbalimbali(Ya asili ama ya kupandwa) na magonjwa mbalimbali...
3 Reactions
29 Replies
11K Views
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi! Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
The brain is a complex organ responsible for cognition, movement, sensation, and autonomic functions. It is divided into major regions, each with distinct roles and clinical significance. 1...
1 Reactions
0 Replies
381 Views
habarini wadau nasikia sikia sana huu ugonjwa una tiba yake?!
1 Reactions
11 Replies
554 Views
SHAHAWA ZA (KIUME) ZINA FAIDA NYINGI KIAFYA KWA MWANAMKE Kumeza shahawa kupitia mdomo wakati mnapofanya mapenzi kutakusaidia uweze kupata usingizi mzuri usiku kwasababu biochemically, Shahawa...
6 Reactions
78 Replies
74K Views
Mbegu za kiume hukomaa kupitia mchakato unaoitwa spermatogenesis, ambao hufanyika ndani ya korodani (testes), hasa kwenye sehemu inayojulikana kama seminiferous tubules. Mchakato huu huchukua...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuwahi Kumwaga: Kuwahi kumwaga (kuwahi kufika kileleni) kwa mwanaume ni hali ambayo hutokea pale mwanaume anapopata mshindo (anapofika kileleni) mapema zaidi kuliko yeye au mwenza wake...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Huyu Jamaa yangu kutoka Arusha yupo Dar kwa wiki kadhaa sasa. Siku kadhaa zilizopita akiwa anaangalia mpira kwenye kibanda umiza ile mechi ya Yanga na Kengold, kipindi cha pili mwishoni alianza...
11 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom