Kwa kweli niko njia panda kuna wanao niambia kwamba huyu mtoto wako anaweza akawa anaumwa kifafa japo EEG test alionyesha hana huo ugonjwa ila akizimia anatoa povu kwa kiasi kidogo ila nisipo...
HI.
Siku za hivi karibuni kuna ongezeko kubwa la contents za tiba ya maumivu ya viungo, matangazo ni mengi kweli kweli.
Hii inaashria kwamba watu wengi wansumbuka na hii shida, nini chanzo, tiba...
Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili.
Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo?
Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana...
Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV.
1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili...
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.
Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi...
Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?
=====
Maoni yaliyotolewa na mdau
Hiyo ni chronic fungal...
Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Habari wapendwa
Naomba ushauri mwanangu ametimiza wiki tatu tangu kuzaliwa. Kinachonitisha korodani zake ni kubwa kulinganisha na udogo wake. je atakuwa sawa au kuna tatizo? Naomba msaada wa...
Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo.
Ni mbinu ya...
Habari wadau, naombeni msaada wenu na ushauri,
Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara na limeanza muda mrefu kidogo huu ni mwaka wa nne unaenda tafadhali naombeni msaada wenu maana hata...
Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na...
Habari za kushinda wadau.
Naomba mnijuze hizo ovulation prediction kit zinapatikana wapi coz calender yangu ni vurugu haisomeki mara 23,24 au 25 maduka ya dawa niliyojaribu kupitia hata hawajui...
Nauliza mimi toka nimejifungua adi sasa mtoto ana mwaka na nusu ila tatizo ni kwamb siku zangu za hedhi zina badilikabdilika kuna wakat Ina pita siku 46 mda mwingine inakua 23,24, na mimi Hua...
Nimejiwekea tabia ya kutokula au kutofanya chochote kwa kuwa nimemuona mtu fulani akila kitu hicho na labda akakisifia kwamba ni kizuri.Na pia kutofanya jambo lolote kwa kuwa tu eti nimemuona mtu...
Habari zenu wana jf.
Dada yangu amesumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ki ukweli vina umri wa miaka miwili sasa imèfika hatua vinachachamaa hadi anagalagala chini katumia dawa nyingi sana bila...
FAIDA ZA MCHAICHAI (LEMONGRASS)
Huu Mmea ni Mmea Mkubwa sana ktk sekta ya Afya.
Watu wengi wenye hekima wamelima mashamba makubwa ya mchaichai kwa ajili ya tiba.
Huu Mmea kuna Magonjwa...
Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii si...
Je Unaijua Homoni ya Kiume/Testestrone?
Leo tuzungumze kidogo kuhusu Homoni ya Kiume/ Testestrone. Kwani upungufu wa hivi vichocheo huweza kuleta madhara makubwa sana siyo tu kitandani bali hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.