Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9. Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa...
1 Reactions
3 Replies
341 Views
MToto anapelekwala clinic anapoanza kuzaliwa hadi miaka mingapi??
2 Reactions
6 Replies
294 Views
Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma. Je, inaweza kua UGONJWA gani?
15 Reactions
190 Replies
5K Views
Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Mwili wako uliumbwa kwa ajili ya kufanya kazi (manual labour) kama vile kusukuma, kuvuta, kubeba, kutembea, kuruka, kuimba, kucheza, kusakata rhumba, kuinama, kuinuka, kukimbia, kukusanya, kupanda...
7 Reactions
25 Replies
10K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya afya inayolenga kudumisha hali nzuri ya afya ya uzazi imekuwa maarufu. Lakini suala hili sana sana linahusu afya ya wanawake wakati wa uja uzito, baada ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, tende ndiyo tunda linaloliwa kwa wingi, pengine kuliko tunda lingine. Pamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia...
3 Reactions
9 Replies
18K Views
Habari za muda huu Wana JF Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno muda mrefu hii nahisi nikutokana na kubeba mizigo mizigo ila Hadi kufikia Sasa sio kiuno tuu balii napingili za UTI wa mgongo maeneo...
3 Reactions
10 Replies
960 Views
Ndugu zangu wapendwa katika jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya tele. Mwenyezi awazidishie uzima na afya. Kama nilivyotanguliza hapo juu naomba kwa wenye ujuzi katika mambo ya afya/afya na...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani Kumradhi, nimeambatanisha na picha ===== Kuna vitu mtu hatakiwi kuvifanyia masihara wewe nenda hospitali ndiyo...
17 Reactions
360 Replies
14K Views
Wakuu habari.. mtoto wa miaka miwili na nusu anakalia mgongo kulingana na changamoto za ukuaji anazopitia kama nilivowahi kueleza hapo awali. Ombi langu wataalamu hasa physiotherapist hii hali...
6 Reactions
7 Replies
709 Views
Jamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi. vitu ninavoogea 1. Deto ya maji...
12 Reactions
122 Replies
6K Views
Jamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume. 1. Je ni kweli zinafanya kazi? 2. Mabadiliko...
6 Reactions
63 Replies
16K Views
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa...
9 Reactions
334 Replies
73K Views
Habari zenu wakuu, Kwa yeyote mwenye mgonjwa au yeye anahitaji figo kwa ajili ya matibabu kuna jamaa yangu yupo tayari kujitolea yeye ni blood group O. Njoo pm
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Na Constantine J. S. Mauki March 2025 Utangulizi Asilimia 60 ya mwili wa binadamu ni maji. Ila kwa mtoto mchanga asilimia 80 ya mwili wake ni maji. Kiwango hiki cha maji hupungua...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna kitu nimeki-observe kwa wagonjwa wengi wa kisukari. Wengi wao huishia kukatwa m/miguu na si mikono au kiungo kingine chochote. Je hii inasababishwa na nini?
11 Reactions
112 Replies
17K Views
Wataalam naomba ushauri wa kitaalam. Nimekutana na mwanamke ila hatukupima UKIMWI, tukafanya mapenzi bila kinga. Baada ya wiki 5, siku kama 36 tukakutana tena na tukafanya mapenzi bila kinga...
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Back
Top Bottom