Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ninasumbuliwa na tatizo la "polymyositis " tatizo hili limenitesa kwa miaka mitatu sasa ni mateso makubwa Sana. Nimekua nikitumia DAWA kutoka zake nilizopewa na madaktari kutoka Muhimbili...
6 Reactions
26 Replies
992 Views
Habari Wana JF,Kama kichwa Cha habari hapo juu,Tulimpeleka jirani yetu Ambaye alipatia changamoto kidogo ya Afya na kumpeleka General hospital hapa Dodoma. Nilichokiona ni Hawa madaktari...
0 Reactions
3 Replies
327 Views
Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki...
14 Reactions
50 Replies
7K Views
Jipu ni maambukizi ya bakteria kwenye ngozi yanayoonekana kama chunusi kubwa iliyojaa usaha. Huanza kama uvimbe unaoonekana kisha hujazwa usaha, pia linaweza kusababisha maumivu makali. Kitunguu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wakuu hizi ndo pep
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Habar wana Jf Leo nimekuja kutoa ushuhuda jinsi nilivyopona vidonda vya tumbo kwa kutumia bamia narudia mara 2 ni kiboko ya vidonda vya tumbo. Nimeteseka kwa muda sana nimetumia dose za gharama...
19 Reactions
29 Replies
5K Views
Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni...
1 Reactions
8 Replies
516 Views
Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
2 Reactions
13 Replies
642 Views
Kupevuka kwa Yai (Ovulation) Ovulation (kupevuka kwa yai) ni pale yai moja au zaidi yanaachiwa kutoka kwenye moja ya ovari (mifuko ya mayai) yako. Hii hutokea karibia na mwisho wa muda ambao...
2 Reactions
12 Replies
22K Views
Habari zenu wana jamiiforums Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri...
3 Reactions
1 Replies
294 Views
Kama umewahi kupewa huduma au kutibiwa ndani ya hospitali ya Bugando toa ushuhuda wako ulitumia mda gani ili kupata huduma na hali ilikuwaje kipindi unasubilia huduma ndani ya hospitali hiyo Na...
1 Reactions
3 Replies
336 Views
Habari zenyu wataalam, Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa. Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo...
6 Reactions
107 Replies
5K Views
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital. Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar. Nasikia kuna...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wataalam wa Afya tunaomba mtujuze na mtupe funzo kuhusiana na hili. Kwa kuongezea Nguo za ndani pia zinatakiwa kuvaliwa siku ngapi? Karibuni?
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kiukweli nahitaji kama kuna dawa au njia ya kuacha huu mchezo maana umenikaa akilini sana nikiwa faragha na demu lazima nitest na kidole akikaa kimya najua huyu tayari lazima niombe. Nimekua na...
3 Reactions
51 Replies
22K Views
Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye...
4 Reactions
90 Replies
8K Views
Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
4 Reactions
10 Replies
666 Views
Habari za muda huu ili swala lipo serious kidogo na sio masihala wala utani kumekuwa na mambo ya kiduanzi mtu akileta swala la serious kwenye uzi raia kuleta masihara Back in the point mwanangu...
2 Reactions
7 Replies
469 Views
Back
Top Bottom