Ushuhuda juu ya dawa ya Dr.RAHABU. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushuhuda juu ya dawa ya Dr.RAHABU.

Discussion in 'JF Doctor' started by Billie, Jan 2, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana jf.
  Dada yangu amesumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ki ukweli vina umri wa miaka miwili sasa imèfika hatua vinachachamaa hadi anagalagala chini katumia dawa nyingi sana bila mafanikio.SASA TUMEAMUA TUNAENDA KWA HUYU DR.RAHABU je kuna mtu mwenye ushuhuda either yeye au alishuhudia matokeo mazuri baada ya kutumia dawa ya Dada huyu?NISAIDIENI ILI TUWEZE KUAMUA UAMUZI WA BUSARA PAMOJA NANYI dada amekosa raha.
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kuna watu waliwahi kuandika humu humu walikuwa wanamponda kama wameona hii thread yako watakujibu au watakuwekea hiyo thread.
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Tafadhali naomba Key words zake ili niisearch
   
 4. m

  mhondo JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sikumbuki ila jaribu kutumia jina mojawapo kati ya fiterawa na jina la huyo dokta yaani Rahabu.
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Sawa kabisa uki-google fiterawa utapata details nyingi kuhusu huyu mdada na dawa yake hiyo. Mi pia nasumbuliwa sana na vidonda na nilikwenda huko baada ya kuona ushuhuda wa sheikh sharif hamad baadaye nikapewa shuhuda nyingine toka kwa watu wengine waliowahi kutumia tiba hiyo nikakata tamaa na kuachana kabisa na wazo hilo ni kama tu bahati nasibu haina tofauti na ile ya loliondo.
   
 6. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  TEMBELEA MJADALA WA HAPA www.jamiiforums.com/jf-doctor/185029-fiterawa-ya-dr-rahabu.htmlZilizo kwenye kache
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  yaani hii nchi ina mambo sana.nasiki huyu dada aligundua hii dawa alipokuwa housegirl wa mkubwa flani.namsifu kuwa mjasilia mali.
   
 8. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  nimetembelea kaka nilichokikuta kinaanza kunitisha sasa sijui tuamue lipi mimi na dada yangu?
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana nikikupa dawa yangu utaweza kuitumia?
   
 10. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usipoze muda na dawa za huyo dada tafuta dawa nyingine...ila for the mean time mtafutie asali mpe kila asubuhi kabla hata hajanawa uso glas ya maziwa fresh kisha changanya na asali vijiko 2-3 pia mchana na usiku...pia msagie juisi ya karot mara kwa mara itapunguza maumivu
   
 11. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kuna member humu alisema ametumia mkojo wake na akapona. Alikuwa anakunywa mkojo wake sema sikumbuki dozi ilikuwaje,ukitafuta humu. Unaweza kuipata.
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo Dada anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.

  chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26847-dawa-ya-vidonda-vya-tumbo.html
  https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/149278-kwa-wale-wenye-vidonda-vya-tumbo-unywe-urine-wako-mwenyewe-kama-huyu-nyani-anavyofanya.html
  https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza-3.html
   
 13. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Nipe tu kaka yangu tumeshachanganyikiwa na hii kitu.WEka na ufafanuzi juu ya matumiz ya hiyo dawa yako.
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Tulishafanya ila sina uhakika kama alizingatia dozi na muda muafaka kunywa.LINGINE MUHIMU NI KUWA DADA ANANYONYESHA MTOTO WA MIEZI 6.
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo Dada anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.

  chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...vya-tumbo.html
  https://www.jamiiforums.com/jamii-pho...avyofanya.html
  https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...kueleza-3.html
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Au tumia Dawa Hii Viazi Mbatata mbichi unaipiga kwenye blendar pamoja na maji unakunywa gilasi asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu na usiku kabla ya kulala muda wa siku saba.

  Mwanamke miaka ana Alsa (kidonda cha tumbo) kapewa dawa hiyo na katumia alipokwenda kucheck hospital kaambiwa hana kitu na madoctor wametake kujua dawa alotumia.

  Au jaribu hii Dawa vijiko
  viwili vikubwa unga wangano.vijiko viwili mafuta ya kupika. nusu lita maziwa . unga wa ulezi kidogo. pika uji vikombe vinne ikisha ujwe mara nne kutwa muda wa mwezi moja Inshaallah kwa kudra ya Mola utapona.

  Au ajaribu Dawa hii Achukue maganda ya komamanga ayatwange mpaka yatowe unga ujazo wa kikombe cha kahawa na achukue asali ujazo wa kikombe cha kahawa achanganye pamoja na unga wa maganda ya komamanga atengeneze hivyo kila siku anywe asubuhi kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja muda wa mwezi mmoja Inshaallah kwa uwezo wa Allah atapona. Akimaliza kutumia uje hapa unipe Please give me a Feedback
  Chanzo :P.h.D. MziziMkavu
   
 17. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Nashukuru nitakaa nae tuone option ipi itamfaa ila je waweza nifafanulia Mechanisms zifanywazo na mkojo kuviponesha hivi vidonda vya tumbo?ITASAIDIA KUIAMINI HII TREATMENT.
   
 18. Z

  Zlatanmasoud Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi niliwahi kupatwa na vidonda hivyo vya tumbo mwaka 2006 na mpaka sasa nahisi ninavyo ili nikianza kupata dalili tu huwa najua nini cha kufanya.

  Kwanza kabisa hivi vidonda viko aina kuu mbili, deodenal na peptic ulcer. Ya kwanza ikikupata hua ukila chakula ndio inazidi na ya pili ukila cha kula ndio unapata nafuu. Sasa sijui huyo dada yako ana ulcer ipi. lakini kwa ufupi mimi nilikabiliana nayo kama ifuatavyo.

  1.Mara ya mwanzo viliponianza nilikuwa kila chakula ninachokula basi kama baada ya nusu saa tumbo hua kama linawaka moto. Sasa namshukuru Mungu nilikuja kubaini kitu kimoja. NIkila maziwa jagi moja na tende kokwa tatu kila ninaposikia njaa basi maumivu ya tumbo kuwaka moto yanaondoka. Hivyo nilikaa kama wiki moja nikishindia tende na maziwa tu.
  Angalizo: Kitaalamu Maziwa yanaweza kuongeza tatizo la vidonda, hivyo ni vyema kunywa kiasi tu.

  2.Mgonjwa anatakiwa asikae na njaa kabisa yaani kila baada ya muda ale kitu lakini kiasi kidogo tu.

  3.Aepuke kula vyakula vinavyoongeza tatizo mfano Nazi, mafuta mafuta, pilipili, vitu vikali, SODA hususan wakati wa kulala.

  4.Inashauriwa anywe maji kwa wingi.

  MAONI: SUALA LA KUPONA KABISA SI JAMBO LA KUWA NA MATUMAINI NALO. MAUMIVU YATAONDOKA ILA KAMA AKIWEKA MIKO YATACHELEWA KURUDI.
   
 19. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,326
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  asante kaka Zlitanmasoud nimekusoma pia nawashukuru wote mlio nipa muelekeo na hata kunidirect kwenye source zingine hivyo kesho nitakaa nae kwa ajili ya discusion nzito ili tujue tutaanza na lipi na tumalize na lipi?MUNGU AWABARIKI SANA.
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Mkuu Billie hebu soma hapa au chaguwa yoyote unayoitaka kujuwa faida za Tiba ya mkojo bonyeza hapa P.H.D - Google Search

  Au hii Bonyeza hapa Urine Therapy - Omaha's Heartland Healing Center


  Au bonyeza hii hapa Urine Therapy - Benefits, Facts and Uses of Urine

  Au hii hapahttp://www.earthtym.net/ref-UT-notes-1.htm Mkuu usione Tabu kusoma faida ya Tiba ya mkojo.
   
Loading...