Ovulation prediction kit

Ovulation prediction kit

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,052
Reaction score
749
Habari za kushinda wadau.

Naomba mnijuze hizo ovulation prediction kit zinapatikana wapi coz calender yangu ni vurugu haisomeki mara 23,24 au 25 maduka ya dawa niliyojaribu kupitia hata hawajui ni vitu gani!
 
Hata humu naona hawaelewi hii ni kitu gani japo binafsi nimekuelewa ika sijui vinapatikana wapi kwakweli.
 
Habari za kushinda wadau.

Naomba mnijuze hizo ovulation prediction kit zinapatikana wapi coz calender yangu ni vurugu haisomeki mara 23,24 au 25 maduka ya dawa niliyojaribu kupitia hata hawajui ni vitu gani!

Maambo, jaribu ku download my carenda, ktk application ni free program, ukishajaza tuu siku ya kuanza na kumaliza menstr, vingine vyote vyatokea km ovulation day, danger day, date of next menstrual, hope nimekusaidia
 
km unaishi dsm nenda nakiete pharmacy ipo mwenge, vinazwa sh.18000-20000 per piece, sas unatakiwa kuwa na piece km 5 hiv, coz inabid utest karibu kila cku
 
Habari za kushinda wadau.

Naomba mnijuze hizo ovulation prediction kit zinapatikana wapi coz calender yangu ni vurugu haisomeki mara 23,24 au 25 maduka ya dawa niliyojaribu kupitia hata hawajui ni vitugani!
tueleweshane jamani kwa hiyo hiyo ovulation prediction kit ina kusaidiaje kama calenda inachange?
 
km unaishi dsm nenda nakiete pharmacy ipo mwenge, vinazwa sh.18000-20000 per piece, sas unatakiwa kuwa na piece km 5 hiv, coz inabid utest karibu kila cku
Duh kumbe expensive hivo
 
IMG-20250402-WA0006.jpg

Mbona zipo nyingi TU ungekua upo dasalama ungelipia@ 8000
Kibox kimoja zipo 3's

Nikakupatia.
 
Unasumbiliwa na PMS (pre menstrual syndrome) inasababishwa na hormone imbalance dawa (mitishamba) ninayo utachangi kidogo (dozi 10k). Inatibu pia vaginal yeast like candida. Call 0711 553 826.
 
Back
Top Bottom