Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
7 Reactions
103 Replies
4K Views
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita. Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Wazee kwema! Niliugua UTI nikachukua hii dawa nikanywa ndani ya masaa 24 nikawa mzima. Nimemtest mtu mwenye gono ndani ya siku 2 akawa mzima. Nawaza niwape NIMRI waiboreshe na kuzalisha kwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
ni asilimia 1 tu ya wanaume walio na access ya kuangalia porno kila siku ama kila saa bila kujichua.ulidanganywa ulipoambiwa picha za ngono ni kwa ajili ya kujifunza style za tendo la ndoa. Porno...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Aisee jana mida ya saa 7 usiku niliumwa tumbo la kuvuruga nikaenda chooni kupush naiikaanza choo ngumu hapo tumbo linauma sana baadae nikaanza kuharisha huku tumbo inauma sana je nitumie dawa gani...
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux, maana baadhi ya watu wenye tatizo la asidi pia ukutwa na fangasi hata mimi nina tatizo hilo nina fungus wasioisha mdomoni maana...
0 Reactions
3 Replies
578 Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni UKIMWI...
49 Reactions
270 Replies
16K Views
Ndugu zangu, Nime-ipost thread hii kwenye Jukwaa la Siasa siyo kwa sababu sijui jukwaa lake muafaka bali ni kwa sababu naamini hili ndilo jukwaa ambalo watu wengi na hususan viongozi wetu wenye...
4 Reactions
26 Replies
16K Views
Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo. 1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
1. USINGIZI USIO WA KUTOSHA Kwa mujibu wa kituo cha Sayansi ya mfumo wa neva (Neurology) cha Marekani, uharibifu mkubwa zaidi kwa ubongo wetu unasababishwa na kutokuwa na usingizi wa kutosha...
2 Reactions
5 Replies
949 Views
Habari wakuu, nilileta Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa na maumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni darasa la 4, yamemuanza tarehe 1/4/2025 hakupigwa, hakuanguka, zaidi alikuwa akibebeshwa...
1 Reactions
11 Replies
748 Views
Habari wakuu Nina kijana wa miaka9 anadai akivuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yote ya mgongoni,tatizo litakua ni nin msaada kwa wazoefu
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari Wana JF natumaini muwazima naomba kuuliza niwapi nitapata kipimo kikubwa Cha afya Yani HIV ambacho kinadetect kwa muda mfupi nanitapatiwa huduma kwa bei gani
1 Reactions
3 Replies
470 Views
Akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Joseph Michael Mkundi Bungeni leo Aprili 14, 2025 aliyehoji “Takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo katika Taasisi ya Ocean Road...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino...
0 Reactions
3 Replies
529 Views
Wakuu habari.. naomba msaada wa hatua za kufuata ili nipate taarifa ya mgonjwa wangu pale muhimbili hospitali. Kiufupi nielekezwe kiujumla #AHSANTENI SANAA
0 Reactions
7 Replies
638 Views
Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu Mmh miezi tisaa?? Watu wa afya hapa kuna ukweli...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale. Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi...
18 Reactions
96 Replies
4K Views
Back
Top Bottom