Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naomba msaada wa swali la Afya hapa. Ukifanya mazoezi ya kukimbia Asubuhi (Jogging) unatakiwa kuoga muda Gani mara baada ya kumaliza mazoezi??? Je unatakiwa kuoga mara tu unapomaliza kukimbia au...
1 Reactions
7 Replies
474 Views
Habarini Wakuu Katika maongezi na baadhi ya vijana wenzangu iliibuka hoja juu ya mada hapo juu, ya kwamba katika makundi ya damu yaliyopo A, B, AB, O kuna makundi ambayo wenye nayo si vyema...
3 Reactions
37 Replies
12K Views
Hi wana jf. Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D). Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wana JF, Jamani napitia changamoto mtoto amezaliwa hana tundu la haja kubwa, mwenye tatizo kama langu anielimishe maana hata sielewi anatakiwa akafanyiwe upasuaji Muhimbili, gharama zake...
1 Reactions
13 Replies
751 Views
Kaka vipi hali pole na majukumu. Samahani kuna hii issue inanitesa sana ni wiki ya pili sasa na sijuwi nifanyaje. Iko hivi kuna binti niko naye kwenye mahusiano mwezi wa 7 sasa japo kila mtu...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Fungal infections imekuwa tatizo kwa sasa kwa wanaume Nini suluhisho? Wakuu msaada
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
"Umechoka kukoroma kama trekta bovu usiku? 🚜, Rudi kwenye chakula chepesi cha asili jioni! Supu ya mboga au samaki ni 'silent mode' kwa mwili wako, inakupa usingizi mtamu kuliko 'lullaby' ya...
2 Reactions
8 Replies
490 Views
SWALI: Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini...
1 Reactions
12 Replies
790 Views
Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza...
4 Reactions
8 Replies
889 Views
Wakuu kwema? Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa. Ni dawa gan inatibu hili? Cc. DR HAYA LAND
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa...
1 Reactions
3 Replies
646 Views
Habarini wana jf Ni hivi karibuni baada ya jamaa yangu kunitumia video moja, nimeisikiliza sana hiyo video, nikabaki na mshangao mkubwa, ikabidi nijiulize hivi wasomi wetu wa kiafrika wanalijua...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu, Wakati tukiwa wadogo about 6 to 9 years mama alikuwa anatuambia mtu mwenye korodani moja hawezi kumpa ujauzito mwanamke yeyote Madaktari wabobevu katika Mambo ya uzazi je ni kweli mwanaume...
14 Reactions
207 Replies
6K Views
Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Bamia Ni Nini? Bamia ambayo pia inajulikana kama okra, ni mboga inayopatikana katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Bamia inaweza kuliwa mbichi au kupikwa katika njia mbalimbali, kama vile...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada === Maoni ya mdau Hiyo ni Genital warts.Ni ugonjwa wa zinaa...
16 Reactions
175 Replies
7K Views
Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya...
1 Reactions
4 Replies
438 Views
Wakuuu mko poaa Nikiwa napiga piga story na wanaume wenzangu wanaibuka na kudai wao bao la kwanza bila ya zaidi ya dk 60 halitoki. Kuna bro wangu na yeye anasemaga ivo, akichakata bao la kwanza...
25 Reactions
125 Replies
24K Views
Naombeni wataalamu wanisaidie toka nifa.nyiwe upasuaji memory yangu imekuwa ndogo Sana yaani Nasahau haraka Naombeni kama kuna dawa au hii Hali itaisha lini. Kwa Hali hii unaweza.kujikuta umelala...
12 Reactions
65 Replies
2K Views
Back
Top Bottom