Wakuu umri ni 28
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo...
Wasalaam Wakuu,
Mama ana mtoto wa miezi 4 tangu ajifungue lakini anaupungufu wa maziwa, kwa maana hiyo mtoto hashibi.
Kawaida hospital inashauriwa mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila...
Ndugu zngu wana jf napenda kuwatangazia kwa wale wote wenye tatizo la ugonjwa wa ngoz,mba na minyoo bas hii dawa ndo komesha ni dawa asili ambayo inasaidia kuondoa tatizo kwa haraka hvo bc...
Habarini....Kwasasa kuhusu Tiba...Mambo yamebadirika....Clinical Medicine inaanza kupotea kwa Kasi na Clinical Imaging inakuja kwa kasi sanaa...!!! Hapa naamanisha kuwa Ukienda hospitalini vipimo...
Wanajamii forum,naomba mnisaidie kuna jambo linanitatiza,Je ni sahih kufanya mapenzi na mama anayenyonyesha!
Kwa sababu kuna mila(kwa sababu sijapata ushahidi wa kisayansi) zinasema kuwa endapo...
Greetings Jamiiforum;
Let me share what i think with you;
Okay; Hypothetically the reason the life expectancy is going up is because our immune system is getting better at filtering it...
Wadau muwasho sehemu za siri zinaweza leta madhara kwa mwanamke?na kiuno kuuma akikaribia hedhi ,anaweza pata ujauzito?wenye hekima msifumbe macho msaada wenu tafadhali
Heshima kwenu wataalamu..Aisee nimekuja kwa jamaa yangu hapa ana mdogo wake binti yuko form three anajikojilea..je kuna dawa ya kumsaidia? Namuonea mpaka huruma..
Habari za weekend wakuu
Poleni na hongereni kwa majukumu tafadhali naomba kujuzwa kama kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI endapo tu utakuwa umefanya mapenzi na mtu ambaye hujapima nae au...
Kutibu Athma lazima uache kula nyama nyekundu, uache kula sukari na kunywa maziwa kwa kipindi chote utakapokuwa unatibiwa.
Dozi ni ya watu wazima sio watoto.
Dozi ya kwanza
Tutakupa vidonge vya...
Habari wana jamvi, mke wangu alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa muda mrefu sana.
Baadae aliacha kwa sababu tuliamua tutafute mtoto mwingine baada ya kujiridhisha kuwa ulikuwa wakati...
Habar wana jamvi,he inawezekana wana ndoa kuish bila kusex,pengine mmojawapo akawa na matatizo mfno jogoo hapandi mtungi,mke hanaga nyege kivile,n mkaweza kuishi miaka
Nipo kwenye mahusiano,na nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume.Je,kuna uwezekano wa kufanikisha katika hili?
Sijapendi kwenda hospital kwanza nimeamua nianze na mtandao mkubwa wa jamii forum ambao...
Mimi nimesumbuliwa sana na Taifodi kwa mwaka sasa.Sasa nimeelekezwa kutumia dawa fulani na rafiki yangu kuwa naye ilimsaidia.Dawa inaitwa RIJAAL.Dawa hii imeandikwa kuwa ni ya kisuna,naomba mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.