Dawa ya kukojoa kitandani

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,252
17,164
Heshima kwenu wataalamu..Aisee nimekuja kwa jamaa yangu hapa ana mdogo wake binti yuko form three anajikojilea..je kuna dawa ya kumsaidia? Namuonea mpaka huruma..
 
Heshima kwenu wataalamu..Aisee nimekuja kwa jamaa yangu hapa ana mdogo wake binti yuko form three anajikojilea..je kuna dawa ya kumsaidia? Namuonea mpaka huruma..
Mwambie aende pharmacy akanunue dawa inaitwa IMIPRAMINE vidonge 50-60 hivi kwa 5000/= awe anameza vidonge viwili tu kila akitaka kulala kwa muda wa mwez mmoja tu inshaallah mola atamsaidia tatzo litaisha.
 
Hili ni tatizo na kuna watu wazima na ndoa zao hili tatizo wanalo
 
Kumfunga vyura kiunoni

Ha ha haaaa
Umenikumbusha enzi hizo manzese uzuri kikojozi aliimbiwa wimbo wa kindumbwe ndumbwe na kutembezwa mitaani asubuhi mapema huku amelowana na kuvalishwa matambara. ilikuwa inasaidia kuna baadhi ya vikojozi waliacha kukojoa
 
Back
Top Bottom