TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Wasalaam Wakuu,
Mama ana mtoto wa miezi 4 tangu ajifungue lakini anaupungufu wa maziwa, kwa maana hiyo mtoto hashibi.
Kawaida hospital inashauriwa mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila kuchanganya kitu chochote mpaka miezi sita, lakini je, linapotokea tatizo kama hili suruhisho lake ni nini, ni kitu gani cha nyongeza apewe ili ashibe vizuri.
Nitashukuru sana kwa mchango wako.