Godman
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 423
- 650
Habari wana jamvi, mke wangu alikuwa anatumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa muda mrefu sana.
Baadae aliacha kwa sababu tuliamua tutafute mtoto mwingine baada ya kujiridhisha kuwa ulikuwa wakati muafaka kuongeza familia.
Lakini ni miezi mitatu sasa imepita tangu aache kutumia vidonge hivyo lakini hakuna ujauzito uliopatikana.
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana si mara ya kwanza kutumia vidonge hivyo, ametumia njia hiyo mara nyingi pale ambapo huwa hatuhitaji kupata mtoto.
Naomba mwenye kuelewa anisaidie, maana napata mashaka huenda vidonge vimesababisha matatizo.