moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Wadau muwasho sehemu za siri zinaweza leta madhara kwa mwanamke?na kiuno kuuma akikaribia hedhi ,anaweza pata ujauzito?wenye hekima msifumbe macho msaada wenu tafadhali
Muwasho sehemu za siri ni dalili ya ugonjwa fangasi sehemu za siri.Na kiuno kuuma akikaribia siku zake inaonyesha huyo mwanamke anayo maradhi ya chango la kizazi hajazaa akizaa anaweza kupona.Dawa ya kutibu hayo maradhi ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Wadau muwasho sehemu za siri zinaweza leta madhara kwa mwanamke?na kiuno kuuma akikaribia hedhi ,anaweza pata ujauzito?wenye hekima msifumbe macho msaada wenu tafadhali