Bima za NHIF unaweza pata huduma ya upasuaji mdogo

tatizo ukifika hospital za serikali na bima ya afya wanaleta madharau kama vile unatibiwa bure, usipojiongeza unaweza kubaki unatoa macho tu!
 
unapasuliwa ndio even me last yr nimepasuliwa ziwa kwa bima ya afya
 
Inategemea na VOTE ya kadi yako,zile za kijani ndio zina vote kubwa kuliko zile za pink.
 
Cku hv hakuna kijan wala nn...bima ni aina moja...labda kama ungesema AAR ndio huduma zao zpo tofaut
Inaweza ikawa kweli hakuna kijani ila votes bado zipo.Makato anayokatwa mwalimu anaeanza kufundisha primary si sawa na makato ya Mkurugenzi ambayo ni zaidi ya 70,000 kila mwezi.
 
Inaweza ikawa kweli hakuna kijani ila votes bado zipo.Makato anayokatwa mwalimu anaeanza kufundisha primary si sawa na makato ya Mkurugenzi ambayo ni zaidi ya 70,000 kila mwezi.
Hata ukikatwa 100,000 kwa mwez utapata matibabu Sawa na yule anayekatwa 21,000

Siku hizi hakuna utofauti wa huduma kwenye NHIF
 
Kama kuna usawa kwenye huduma,kwanini hakuna usawa kwenye makato?
Bima ya afya imekaa kijamaa zaidi, unaweza ukakatwa 21,000 lakini ukatibiwa matibabu ya Sh 1,000,000

Aidha, unaweza ukakatwa 100,000 kwa mwez na ukakaa miaka kumi bila kuumwa na huwez dai pesa zako kwani Wapo wanaoumwa kila siku na michango yao haitoshi kuwatibu.

Huo ndo ujamaa ndugu yangu!
 
Inaweza ikawa kweli hakuna kijani ila votes bado zipo.Makato anayokatwa mwalimu anaeanza kufundisha primary si sawa na makato ya Mkurugenzi ambayo ni zaidi ya 70,000 kila mwezi.
Elewa unachoambiwa nhif siku hizi hakuna cha rangi zote ni sawa.
 
Bima zote zipo sawa katika matibabu.

Bima inatoa huduma kwa ugonjwa wowote ule ambao unaweza kushighulikiwa ndani ya nchi

Uwe ni upasuaji mdogo au mkubwa bima ina cover in short bima haina exceptions wala top up haina.

Ila sio hospitali zote zinatumia bima ya NHIF
 
NHIF INA guide yake kwa huduma pamoja na level ya hospital na aina ya dawa zinazotolewa kuanzia dispensary mpaka referral hospital,kingine kila mwanachama huwa na haki sawa kwa matibabu kulingana na ugonjwa na aina ya matibabu yanayotolewa ,Tatizo huwa kwa hospital za government kucheleweshewa fedha zao baada ya huduma kwa kila robo ya mwaka nadhani( sina hakika) tofauti na private hospital ambayo mkataba huwa smart sana ili kuweza kuendesha shughuli na kuvutia wateja wengi hongereni NHIF
 
Back
Top Bottom