Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Nipo kwenye mahusiano,na nina ndoto za kupata Mtoto wa kiume.Je,kuna uwezekano wa kufanikisha katika hili?
Sijapendi kwenda hospital kwanza nimeamua nianze na mtandao mkubwa wa jamii forum ambao naamini wapo wana sayansi na waliofanikisha kwenye issue kama hii.So,kama una idea yoyote kuwa huru, changia japo point moja then wengine wakichangia tunaweza kupata good idea ambayo itanisaidia Mimi na wengine ambao wana ndoto kama yangu.
Haina haja ya kuogopa au kutoa matusi badala ya kuchangia maada iliyopo hewani.Pia kama huna cha kuchangia kaa pembeni by the way ni vema kukaa kimya kuliko ku discourage mtu.
You are strongly welcome.
Discussion is online.