Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Je unatoa ute mwingi ukeni na kupata maumivu ukeni wakati unatembea au wakati mwingine wakati ukiwa unafanya mapenzi? Kama unajisikia hari hiyo na umeshaenda kwa madactar mbalimbali, na...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habarin wanajamvi; Moja kwa moja niende kwenye suala la msingi. Nipo kwenye mahusiano na dada mmoja yapata sasa miezi minane, kuna tatizo la kutokwa na fluid za njano sehemu za siri baada ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna mdada kaniambia eti kibamia kinaongeza hatari ya fistula kwa mwenza wa kike. Je, ni kweli au kanipiga fix?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini The Great Thinkers! Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Habari wakuu Nipo hapa kueleza shida yangu. Mda mfupi uliopita ngoma ya sikio langu la kushoto "eardrum" nimeisikia ikitikisika/ikidunda dunda kwa sauti kubwa, hii yote ni nini? Naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeziokota barabarani nikiwa katika matembezi. Ukiona zinakufaa/zitakufaa baadaye zihifadhi au la hazitakufaa zipotezee.
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Naomba ushauri wanajukwaa, Mikono yangu usiku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani ? Nimepima damu na mkojo nipo ok Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1)Kwa Kumuangalia Kwa macho dalili gani unaeza mtambua mwanamke mweupe asiye na upele mahala anaeishi na v.v.u.? 2)kupatwa mafua 1week baada ya maambukiz ya vvu ni 89% Kwa kila MTU je, mafua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa natumia doze ya tb,katikati ya ugonjwa maskio yangu yakawa yanatoa sauti (psssssss!) Had Leo nimemaliza doze bado tu.sababu ni nini?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajf kwa wale mliowahi kusumbuliwa na amiba na sasa mmepona njooni hapa mnishauri kitu,maana hawa viumbe wananisumbua sana.Nataka kujua mliponaje maana mimi nimewatibu sana.Mara ninaambiwa bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana JF, napata maumivu makali sana na sijui nini tatizo 1: maumivu ya tumbo la juu kama mtu amemwagia maji moto, kuunguruma, na linauma zaidi pale ninapokuwa na hofu ya kitu Fulani 2...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello JF members! Naomba kufahamishwa umuhimu wa mafuta ya ngamia katika mwili wa binadam na matumizi yake. Jana tumechinja na kuuza nyama ya Ngamia katika kusherekea sikukuu ya Eidd. Nimepata...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Wapendwa.. Leo tumepoteza ujauzito wa mke wangu wa takribani mwez mmoja na nusu. Alianza kulalamika maumiv ya tumbo kisha bleed ilianza.Tuliwah hospital akapatiwa Dawa tu kisha kuruhusiwa kurud...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
-Upi ni wakati sahihi wa kuacha kushiriki tendo la ndoa wakati wa ujauzito? -Ni madhara yapi (ama faida zipi) awezazo kuzipata mwanamke akiendelea kushiriki tendo mpaka muda wa mwisho wa ujauzito?
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Jamaniii naombeni msaada wa ushauri au hata namna ya kufanya tiba kwa minyoo sugu iliyokaa mda mrefu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
*NGUVU ZA KIUME* Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii zetu waathirika wakubwa wakiwa vijana Tatizo hili limegawanyika kwa aina mbali mbali kutegemeana sana na chanzo cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni miaka 15, sasa nimeugua tumbo nawashukuru wanajf kwani hamkunitupa kila nilipokuja kuwaomba ushauri. Nilizunguka hospitali nyingi hadi Muhimbili lakini ikawa bila-bila!Namshukuru sana dakatri...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
*CARDIOLOGY IN TOUCH.* ```Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii: 1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jioni unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini. 2. Umechoka...
1 Reactions
0 Replies
828 Views
Hello DC,,, ni miez kadhaa sasa nasumbuliwa na meno magego (kulia na kushoto) hasa ninapokula chakula nahc yametoboka Naomba ushauri na msaada tafadhali maana inafika wakati nakichukia chakula...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…