Msaada majibu ya haya maswali

samamba oscar

Member
May 16, 2017
20
45
1)Kwa Kumuangalia Kwa macho dalili gani unaeza mtambua mwanamke mweupe asiye na upele mahala anaeishi na v.v.u.? 2)kupatwa mafua 1week baada ya maambukiz ya vvu ni 89% Kwa kila MTU je, mafua yake yanatofauti gani naya allergy au mafua ya kawaida? 3)After2week tu unaeza pata dalili Kama vidonda koo, maumivu ya mifupa na misuli,kukauka lips/mdomo,Mwili Kutetemeka,mafua yanayoenda 3week,kukonda? 4)vituo vidogo vyaafya vinatoa huduma ya vipimo vya (PCR)au ELISA nani bei gani? ASANTENI
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,884
2,000
Mkuu w engine wana immune system nzuri akipata hayo mafua wiki mbili baada ya hapo anadunda miaka 8 bila dalili yeyote. Lakini wakati huo ndiyo CD4 zinashuka. Anaweza kupata magonjwa nyemelezi kama TB.
 
Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
1,748
2,000
Mafua pia husababishwa na virus, lakini virus wa HIV ambao baadae husababisha mafua huweza kudumu kwa week mbili mfululizo wakati yale mengine ukitumia dawa mujarabu siku mbili au tatu huisha. Ama dalili zingine inategemeana na kinga yako ya mwili uimara wake. JITAHIDI KULA ALKALINE FOODS KUFANYA KINGA YAKO KUWA IMARA SIKU ZOTE.
 
ricksily

Member
Mar 9, 2017
89
125
Iyo research yako ya mafua umesoma wapi mkuu?

Afu mgonjwa kama uyo huwezi kumjua kwa macho
 
samamba oscar

Member
May 16, 2017
20
45
Mafua pia husababishwa na virus, lakini virus wa HIV ambao baadae husababisha mafua huweza kudumu kwa week mbili mfululizo wakati yale mengine ukitumia dawa mujarabu siku mbili au tatu huisha. Ama dalili zingine inategemeana na kinga yako ya mwili uimara wake. JITAHIDI KULA ALKALINE FOODS KUFANYA KINGA YAKO KUWA IMARA SIKU ZOTE.
Aise, Ila sijatumia dawa ya mafua kinachonipa hofu hayazibi pua wala kudondoka kiasi chakutumia dawa yapo kawaida tu
 
samamba oscar

Member
May 16, 2017
20
45
Mkuu w engine wana immune system nzuri akipata hayo mafua wiki mbili baada ya hapo anadunda miaka 8 bila dalili yeyote. Lakini wakati huo ndiyo CD4 zinashuka. Anaweza kupata magonjwa nyemelezi kama TB.
Mafua yakawaida hudumu Kwa mda gani?
 
ricksily

Member
Mar 9, 2017
89
125
Mafua yakawaida hudumu Kwa mda gani?
Kumbuka mostly mafua ni viral causes, so hakuna dawa ya kuwaua, ivyo itategemea immunity ya mtu, mazingira mtu aliyopo (baridi/joto) au dawa za kuyatuliza ambazo mtu atazitumia kama vile izi Nasal decongestant or anti allergic.
 
samamba oscar

Member
May 16, 2017
20
45
Kumbuka mostly mafua ni viral causes, so hakuna dawa ya kuwaua, ivyo itategemea immunity ya mtu, mazingira mtu aliyopo (baridi/joto) au dawa za kuyatuliza ambazo mtu atazitumia kama vile izi Nasal decongestant or anti allergic.
Duh Asante bro kidogo nimehema maana Leo nisiku ya 9 bado na runny nose kikinipiga kibarid
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom