Mpenzi wangu hasikii harufu ya kitu chochote,msaada tafadhali.

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
 
nilishawahi kuwa na rafiki wa namna hii,nadhani ni ulemavu kama ulivyo wa masikio au macho.
 
Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
Masikio yake yatakuwa na hitilafu mnunulie Earphone!
 
Ngoma za pua zitakua zimetoboa dats y hasikii harufu yafaa sasa akamwone daktari bingwa wa magonjwa ya pua
 
Mtu mwenye matatizo ya pua,unaweza ni rekebisha kama siko sahihi.
Hapana toinyo ni wale watu wanazaliwa midomo imechanika, lugha nyingine ni "mdomo sungura" hao ndio toinyo
Picture1.jpg
 
Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
Ana Anosmia, ni dalili inayoashiria kuna matatizo kwenye Neva au ugonjwa wa Parkinsonism unamkaribia....aende hospitali akapimwe haraka sana
 
Mmmh embu tuwekane sawa HARUFU HAISIKIWI, HARUFU INANUSWA

KAZI YA PUA NI KUNUSA SIO KUSIKIA, KUSIKIA NI KAZI YA SIKIO
 
Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
Amewahi kuwaona maspecialists wa ENT?
 
Back
Top Bottom