Ngoma ya sikio "eardrum"

sio ajabu

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
220
250
Habari wakuu


Nipo hapa kueleza shida yangu..,
Mda mfupi uliopita ngoma ya sikio langu la kushoto "eardrum" nimeisikia ikitikisika/ikidunda dunda kwa sauti kubwa., hii yote ni nini ?
Naomba ushauri .wataalamu wa afya.
 

Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,031
2,000
Pole mkuu. Kama hali hiyo inaendelea wahi hosp kitengo cha sikio wakucheck. Usichelewe, sikio ni sehemu sensitive sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom