Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
623
500
*NGUVU ZA KIUME*

Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii zetu waathirika wakubwa wakiwa vijana

Tatizo hili limegawanyika kwa aina mbali mbali kutegemeana sana na chanzo cha tatizo

*AINA ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA SABABU*

*(( 1 )) KUWAHI KUFIKA / KUMWAGA MANII UPESI*

Weng wamekua wakiuliza ni kiwango gan cha muda kinasema kwamba nina tatizo la kuwahi kufika
kiukweli ni chini ya dakika

*TANO ILA SABABU HUA NI*

*KISAIKOLOGIA*

*HOFU NA PUPA*

hii hutokea pale ambapo Mwanaume hupatwa na tamaa haswa ya jimai na kushindwa kujizuia,

humpelekea kumaliza mapema chini ya dakika mbili na kushindwa kusimamisha dhakari hivyo HOFU huingia na kuzuia mawazo ya msisimko wa tendo na kusababisha dhakari kusinyaa

*KUPOTEZA MSISIMKO*

Hii hutokana na kupoteza hamasa ya tendo kwa yule unae fanya nae ama akili kutokusisimka kutokana na Utendaji Mbaya wa Jimai ulio pita pia Msongo Wa Mawazo kutokana na matatizo ya kimaisha au kuto kumridhia unae fanya nae.

*KIMWILI*

*UDHAIFU WA MISHIPA YA PUBOCOCCYGEUS (PC*

Kama Misuli ya Pubococcygeus (pc) ikiwa dhaifu humpelekea mwanaume kushindwa kujizuia kutokana na kufika upesi na pia humfanya mwanaume ashindwe kua na nguvu za kunyanyua dhakari pindi inapo sinyaa

*MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI*

Kwa wenye majini mahaba mara nyingi halii hii huwatokea yaani anasimamisha vizur ila sasa akisogelea MLANGO WA OFISI TU mzee analala kabisa au MZEE HUTAPIKA HAPO HAPO MLANGONI AU AKISHA INGIA TU HACHUKUI DAKIKA MBILI sas maradhi ya aina hii ni vyema sana ukanitafuta tuongee vyema tujue ni jini au ni uchawi

*(( 2 )) KUCHELEWA KUFIKA KILELE / KUCHELEWA KUMWAGA MANII*

Wakat wapo watu wanalia kuhusu kuwahi kufika wapo watu ambao wanaweza kwenda hata dakika 35 bila kupata goli hata moja hili pia ni tatizo la nguvu za kiume
*NA SABABU ZAKE HUA NI*

*KUPIGA PUNYETO ( masturbation ) SANA NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO*

Watu wataniuliza mbona wataalamu husema kufanya hivyo kuna pelekea ufike haraka JIBU ni hutegemeana na mfanyaji na anavyo fanya maana kichwa cha uume ndo kimebeba hisia ( sensitiveness ) hivyo mtu anaposugua kile kichwa kwa nguvu ya KIGANJA mpaka kufika hupelekea kichwa kile kua na hali ya USUGU ( NUMB ) kiasi ambacho akikutana na mwanamke huitaji kutumia nguvu ya ziada kuweza kupata msuguano sawasawa na ule wa mkono ili aweze kufika

*KUTUMIA DAWA NA KUFANYIWA UPASUAJI WA KENDE MBILI*

*Kuna baadhi ya wenye maradhi ya KISUKARI, PRESSURE YA KUPANDA NA ALLERGY*
mara nying dawa zao hupelekea tatizo hili hivyo vyema ukiwa na shida hii uongee na daktar wako akubadilishie dawa
Kuhusu operation za kende kwa wale walio fanyiwa naamin madktar walisha waarifu tatizo la kuto kumwaga au kumwaga hewa lipo kwa upande wao

hata wenye KUENDESHA BAISKELI kwa mda mrefu sana jambo hili linawatokea kwa sababu ya kusugua kende mbili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom