Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wana Jf mm nikijana wa miaka 23 nimekuwa na tatizo la Unene hali hii kiukweli inanitesa sana Kuna rafiki yangu amenipa ushauri ninunue dawa za kupunguza mwili je hizi dawa nikweli...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari wandugu, Jamani jana kuanzia jioni jioni nilianza kujisikia muwasho kwenye ngozi, na ilipofika usiku it got worse nikikuna inatoka uvimbe uvimbe nikachukua baby powder nikajipaka kwenye...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wakuu ....? Eti ni kweli kenya wamepata mbadala wa ARV'S?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanajamii, Hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha, nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu, tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili...
1 Reactions
96 Replies
14K Views
Tatizo hili la kuwa na majimaji ukeni husababishwa na nini? Utakuta upo na mkeo mnafanya tendo la ndoa halafu katika "in and out" unasikia sauti "chubwi chubwi" kutoka ukeni. Kwa yeyote anayejua...
0 Reactions
35 Replies
21K Views
Habar zenu wadau natumai mpo powaa Wadau nahitaji kujua kama kuna dawa yakuongeza ndevu ziote kwa wingi zaidi
1 Reactions
1 Replies
822 Views
Kutokwa na uchafu uumrneni jaman ni ugonjwa gani na dawa gani itumike jaman!!
0 Reactions
3 Replies
714 Views
Namshukuru Mwenyezi Mungu mke wangu amejifungua salama baada ya miezi kumi ya ujauzito. Wakuu naomba kufahamu vyakula gani anaweza kula mama aliyejifungua ili aweze kurecover haraka?
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Mtoto wangu ana miez miwili leo cku ya pili anajisaidia marenda renda mara kwa mara japo Co mengi lakn imekuwa too much, nimpatie dawa gan ili iache hali hiyo? Au ni kawaida nipo njia Panda.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Dawa hii ni nzuri sana kwa wasioshika ujauzito kwa sababu mbalimbali kama kutokubalance kwa hormone na matatizo mengine.... Pia dawa hii hii watumie watu ambao akishika ujauzito unatoka. Dawa...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
Zifahamu faida za:- Pomegranate(komamanga) -ina antioxidant inayosaidia kupendezesha ngozi na kuifanya ionekane ya kijana. -Husaidia mwili kuondosha sumu na uchafu utokanao na...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Wana JF naomba msaada wenu kuhusiana na matumizi ya Kitunguu swaumu (garlic). Nafahamu kitunguu swaumu kinamanufaa mengi sana mwilini na kuna ushaidi(medical evidence)kwamba matumizi ja kitunguu...
1 Reactions
26 Replies
29K Views
Mimi ni binti mwenye umli wa miaka 29 tokea nilipoamua kujiingiza na maswala ya mahusiano na kuanza kufanya tendo la ndoa sijawahi hisi raha ya tendo hilo hata kidogo.Nilijalibu waeleza lafiki...
1 Reactions
115 Replies
15K Views
Kwa wenyekuifahamu hiyo kitu hapo juu ni solution inayopatikana wapi na inatumikaje kuoshea magwangala ya dhahabu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*FAIDA ZA MASSAGE* Massage husaidia kuondoa msongo wa mawazo. Massage huondoa uchovu wa mwili na akili. Massage huweka sawa mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Massage huzuia kiharusi kwa urahisi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita ifanya mapenzi na mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli...
2 Reactions
128 Replies
13K Views
Mke wangu hashiki mimba pia kwa mwezi anaingia mp mara 2. naombeni msaada wa tatizo langu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari waungwana Nina wifi yangu kajifungua huu mwezi wa pili sasa tatizo lake maziwa ni mepesi mno,atumie nini ili yawe mazito?
0 Reactions
8 Replies
28K Views
Hodi wanajamvi Naombeni msaada wenu mwenzenu nasumbuliwa na aleji ya Samaki kwa kifupi siwezi kula samaki hata harufu yake hunifanya nijisikie kichefu chefu CHANZO CHA TATIZO Tatizo hili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Nimekua na mambo yananisumbua zaidi ya mwaka sasa, na nimeweza kuwa mnafki na kuyaweka moyoni tu bila kuongea kwa watu mambo hayo.<br> Kutokana na mambo mengimengi nilijikuta...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…