Itchy skin (muwasho) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itchy skin (muwasho)

Discussion in 'JF Doctor' started by Maundumula, Feb 8, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,045
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Habari wandugu,

  Jamani jana kuanzia jioni jioni nilianza kujisikia muwasho kwenye ngozi, na ilipofika usiku it got worse nikikuna inatoka uvimbe uvimbe nikachukua baby powder nikajipaka kwenye muwasho baadae muwasho ukaisha nikapata usingizi (Not sure kama ilisaidia nadhani iliisha tu yenyewe) na leo nipo job my legs are still itching.

  Najaribu haraka haraka kuangalia chanzo sioni chochote kwa karibu labda tu last weekend (sunday)niliogelea kwenye swimming pool. Je hiki kinaweza kuwa chanzo na possibilities ni nini hapa ? wengine wamenishauri nijaribu calamine lotion je itasaidia?

  Plz help
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuwashwa na kutoka wheals ina maana umepata uticarial rashes. Huja kama una minyoo au kama umekula kitu ambacho una allergy nacho. Kama ingekuwa ni sababu ya kuogelea, muwasho ungeanza pronto.

  Mara nyingine ukuwa hivyo, tumia antihistamin kama Chlopheniramine au Cetrizine. Lakini just for the sake of safety, check stool for worms.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,045
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Thank you doctorz, ngoja nisikilizie leo hali ipoje kwanza.Kesho asubuhi nikiona vipi nijaribu dawa za over the counter ikiendelea nimuone Derm.
   
Loading...