Mama anaenyonyesha atumie nini ili maziwa yawe mazito?

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,091
Habari waungwana
Nina wifi yangu kajifungua huu mwezi wa pili sasa tatizo lake maziwa ni mepesi mno,atumie nini ili yawe mazito?
 
Huo unga unafanywaje na mbegu za maboga zinazofaa ni zipi kati ya nyeusi na nyeupe?
 
Habari waungwana
Nina wifi yangu kajifungua huu mwezi wa pili sasa tatizo lake maziwa ni mepesi mno,atumie nini ili yawe mazito?

Ni kawaida kabisa kwa akina mama.. Maziwa yatakwenda kuwa mazito kadiri ya mtoto atavyokuwa anakua. Cha muhimu hazingatie mlo kamili..Na vyakula vya majimaji wa wingi kma supu, Uji, na nk.
 
Lishe bora n muhmu sana kwa mama alietoka kujfungua...ila kutokana na nyakat za sasa asilazmshe maana hali si rafik kabisa kwa watanzani walio wengi
Kila mtu apambane na hali yake ndio kilcho bak
 
Back
Top Bottom