Msaada: Nachukia Samaki na harufu yake

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Hodi wanajamvi

Naombeni msaada wenu mwenzenu nasumbuliwa na aleji ya Samaki kwa kifupi siwezi kula samaki hata harufu yake hunifanya nijisikie kichefu chefu

CHANZO CHA TATIZO
Tatizo hili lilinipata miaka 3 nyuma kuna msichana nilimpa ujauzito hivo akawa na aleji ya samaki alivoniambia tu kuhusu hili tatizo nikashangaa na mimi baada ya muda nikaanza kuchukia samaki na shombo lake

Naombeni kama kuna dawa yoyote au namna nyingine ya kutibu tatizo hili mnisaidie mwenzenu...

Asanteni
 
Kama huwezi kula si uache, ya nini kujilazimisha wakati vya kuliwa ni vingi? Wangapi hawali hizo samaki, dagaa na nyama, nawe acha au mpaka zikuue ndo utaamini zinakukera.
 
Hodi wanajamvi

Naombeni msaada wenu mwenzenu nasumbuliwa na aleji ya Samaki kwa kifupi siwezi kula samaki hata harufu yake hunifanya nijisikie kichefu chefu

CHANZO CHA TATIZO
Tatizo hili lilinipata miaka 3 nyuma kuna msichana nilimpa ujauzito hivo akawa na aleji ya samaki alivoniambia tu kuhusu hili tatizo nikashangaa na mimi baada ya muda nikaanza kuchukia samaki na shombo lake

Naombeni kama kuna dawa yoyote au namna nyingine ya kutibu tatizo hili mnisaidie mwenzenu...

Asanteni

Itakuwa na wewe una mimba
 
Ukisoma majibu anayopewa Muomba ushauri utachoka!

Mtu anaomba ushauri anajibiwa "shule inafunguliwa lini"

Mtoa kama huwezi kuacha kula hao samaki(kwa sababu labda unapenda ) basi hakikisha unakula samaki aliyechomwa huku ukikatia na vitunguu Maji, hutaona hiyo shombo!
 
Back
Top Bottom