Dawa za kupunguza mwili

Jumaa gosso

Senior Member
Sep 4, 2016
188
127
Habari wana Jf mm nikijana wa miaka 23 nimekuwa na tatizo la Unene hali hii kiukweli inanitesa sana

Kuna rafiki yangu amenipa ushauri ninunue dawa za kupunguza mwili je hizi dawa nikweli zinatibu au maana naogopa nikanunua mwisho wa siku nisione mafanikio yoyote. Ambae ameshawahi kutumia hizi dawa naomba anipe ushuhuda wake
99dce187f2206cc549d423a53fe14a9c.jpg
260e6423164b5bf21ae7bcd7814a43d0.jpgMwenye maoni au ushauri karibu
 
Mazoez ndio dawa pekee ya kupunguza unene huo mwingine wote ni utapeli tu acha kupoteza hela zako
 
HUWAGA NACHUKIA NIKIKAA NA DEMU TUNACHEKI MZIKI ALFU CHIBU ANAANZA KUVUA SHAT NA SIX PAK WAKATI WENGINE VITAMBI PACK HUWAGA NA CHANGE CHANNEL UTASKIA DEMU O WIVU NAMWAMBIAGA TV YA CHIBU AU YANGU TUSIPANGIANE ILA NIMEANZA DIET NAKULA MLO MMOJA TU
 
Mnaosema mazoezi ni muhimu ni vyema mkamwambia kabisa ni mazoezi ya aina gani na mfano kabisa sio mazoezi ni mazoezi tu
 
Habari wana Jf mm nikijana wa miaka 23 nimekuwa na tatizo la Unene hali hii kiukweli inanitesa sana

Kuna rafiki yangu amenipa ushauri ninunue dawa za kupunguza mwili je hizi dawa nikweli zinatibu au maana naogopa nikanunua mwisho wa siku nisione mafanikio yoyote. Ambae ameshawahi kutumia hizi dawa naomba anipe ushuhuda wake
99dce187f2206cc549d423a53fe14a9c.jpg
260e6423164b5bf21ae7bcd7814a43d0.jpgMwenye maoni au ushauri karibu
Mkuu nitafute mimi nikupe dawa yangu ya kupunguwa mwili wako. Dawa yangu toka nje ya Tanzania kwa jina inaitwa Natural FitoForm Plus chupa 6 utatumia kwa muda wa miezi 6 na kupunguwa tumbo,mafuta,kitambi na unene wako. Dawa ni ya mitishamba iliyo tengenezwa kwa njia ya kisasa vidonge (Capsule) haina madhara kwa mtumiaji. Ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

FITOFORM PLUS.jpg
 
Mwaya fanya mazoezi kaka, anza mdogo mdogo kama kutembea, then uanze kuruka kamba, then jogging, unaenda unaongeza. .
Ukiona mwili unastahimili, unaweza anza mazoezi specific mf. Kukata tumbo

Kuliko kutumia madawa bora utumie natural remedies. . Detox water, apple cider vinegar. .

Ila zingatia pia msosi. . Punguza wanga, ongeza portion ya vegs na fruits. . Kunywa water before eating inasaidia ushibe with the small food portion you are taking
 
Mkuu nitafute mimi nikupe dawa yangu ya kupunguwa mwili wako. Dawa yangu toka nje ya Tanzania kwa jina inaitwa Natural FitoForm Plus chupa 6 utatumia kwa muda wa miezi 6 na kupunguwa tumbo,mafuta,kitambi na unene wako. Dawa ni ya mitishamba iliyo tengenezwa kwa njia ya kisasa vidonge (Capsule) haina madhara kwa mtumiaji. Ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

View attachment 535765
Ok nitakutafuta ndugu
 
Back
Top Bottom