Habari Za kutwa ndugu wana Jf, naomba kufahamu juu ya hili swala mpenz wangu ana AB+ namimi Nina 0+
Je, hapa kuna tatizo lolote katika safari ya kutafuta mtoto
Wadau kabla ya kumwaga sperm au mbegu za kiume,kuna maji maji meupe utoka Yale maji ni muhimu sana maana yana acid, ile acid inapoingia ukeni ambako kuna maji maji yeye base
Acid + base= water na...
Mama mwenye maambukiz ya Ukimwi, kukamua maziwa na kuyachemsha kumpatia mtoto wake kunaweza kusiwe na madhala kwa mtoto? Mtoto anaumri wa miez mitatu ameanzishiwa Maziwa ya ng'ombe. Nijuzen...
Habarini humu,
Nilifanyiwa operesheni ya kutoa tonses toka mwezi wa tatu 2017. Hadi leo sina test ya chochote. Nisaidieni nitakuwa vizuri baada ya muda gani? Sina namba ya doctor wangu na yuko...
Ijue Faida ya kula samaki
SAMAKI (FISH)
• Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi
• Huilinda mishipa ya damu isiharibike
• Huzuia damu kuganda
• Hushusha shinikizo la damu
• Hupunguza hatari...
Kuna njia ya ku_strengthen Na kuiongeza dhakari nimeisoma makala hiyo "juzikati" hiyo njia inaitwa Jelqing method
Je kuna yoyote mwenye kujua zaidi juu ya hiyo method nipate juzwa zaidi nanyi...
Wakuu wasalaam.
Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji.Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu, je ni salama kutumia vidonge...
Habari ndugu zangu,miaka 10 iliyopita Jino la mwisho taya la chini 'wisdom tooth ,lilimeguka nikaenda muhimbili wakapiga xray.
Lilikuwa limeota vibaya kitaalamu (horizontal 3 molar...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mtoto wangu anaugonjwa wa jipu ambalo likiiva na ukalikamua baada ya miezi mitatu linaludia tena nimejaribu kumpeleka hospital kunawakati dawa alizo pewa...
Aman iwe kwenu wakuu.
Wakuu nina ujauzito wa week40, lakini mpaka sasa naona kimyaaa mambo hayaja nichanganyia, napata maumivu sna hasa ya kiuno na mgongo.
Je nikawaida niendelee kuvumilia au...
Jamani mi naomba nieleweshwe kwa wale watu wa biology.
Kuna mdada aliekuwa mpenzi wangu kashajifungua mtoto ana kama miaka miwili hivi na sio siri yule mtoto anafanana na mimi aslimia mia ila...
Habari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na...
Wakuu na madaktari mliopo jamvini.
Naomba mnijuze. Nina mjomba wangu ana miaka karibu 90 na amefanyiwa vipimo na kuonekana kuna maji katika kichwa chake yaliyosababishwa na mgando wa damu...
HIV kirusi kinafahamika kwa jina la retrovirus jamii ya Lentivirus,RNA ,spherical shape,diameter of 80-100nm. africa klipewa jina la hiv kutokana na tabia yake ya kuharibu kinga haraka sana zaid...
Kama uzi tajwa hapo naomba kujuzwa madhara ya diclopar Kama kidonge cha kutuliza maumivu mfano mtu anapoumwa na Jino akiweka kwenye jino linalouma Mara...
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo usoni la nyama zilizotoka baada YA makovu YA chunusi.. (keloidi) Naomba kujua namna YA kuondoa tatizo hilo
Ahsanteni
Ndugu wana body naomba kujua dawa sahihi ya ngozi kuanzisha vijiuvimbe vinavyo washa then vinakua kadri siku zinavyo endelea. Kitaalamu huu ugonjwa unaitwa(KELOID).Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.