Ushauri: Natamani kuacha bangi

Tarime one

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
2,246
1,731
Wanajamii,

Hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha, nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu, tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack.

Nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.
 
Wanajamii hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha,nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu,tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack, nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.

Uandishi tu wenyewe unaonyesha umeitumia sana, onana na dr bingwa wa afya ya akili atakusaidia mkuu.
 
Wanajamii hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha,nina vijana wako Tna nisingependa wafahamu hili tatizo langu,tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack, nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.
Mkuu unatuangusha Mimi first born wangu yupo Udsm lkn KITU ananinulia mke wangu na ananinyongea akitoka kazini km stock imepungua anampitia pusha Sina anampa.nikuulize una acha unaumwa au inakuzuru hiyo ni dawa usiache mkuu mikosi itakuandama
 
Pole kwa uraibu huo.

Pia nikupe hongera kwa kutaka kuiacha hio tabia kwa hiyari yako.
USHAURI: Nenda katika Kanisa la watu WALIOOKOKA,omba kuonana na Mchungaji mweleze haja yako hio, atakuongoza katika sala ambayo nguvu za Mungu zitaingia ndani mwako na hio hamu ya kuvuta itatoweka ! Kimsingi, yako mambo ambayo kwa nguvu zetu hatuyawezi - hivyo tuahitaji msaada toka kwa Mungu. "MUNGU NI MWEZA WA YOTE".
karibu
 
Kumwomba Mungu sawa ila kuokoka ni ngumu.
 
Wanajamii hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha,nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu,tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack, nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.
Aliyekwambia kuvuta Bangi ni tatizo nani?
Screenshot_2017-04-11-10-46-33.png
 
Back
Top Bottom