Ben branco
Member
- Jan 24, 2017
- 30
- 47
Pia dawa hii hii watumie watu ambao akishika ujauzito unatoka.
Dawa hii usiitumie kwanza kama una UVIMBE TUMBONI AMA MIRIJA YAKO YA UZAZI IMEFUNGA(IMEZIBA)
Nina maana ikiwa una uvimbe ama mirija imefunga TUMIA KWANZA DAWA ZA KUTOA UVIMBE NA KUZIBUA MIRIJA ndipo utumie dawa hii
Dawa hii si nyingine bali ni MIZIZI YA MKWAMBE
⚡Tafuta mizizi ya mkwambe ...mizizi nane igawanye fungu mbili upate minne minne
⚡Chukua fungu la kwanza chemsha kwa maji vikombe vitano vya 250ml. ...... yaani sawa sawa na lita moja na robo. .
Chemsha ichemke vizuri kabisa
⚡Kunywa kikombe kimoja kutwa mara moja
Hiyo dawa ulochemsha utakua unaipasha siku zinazofuata mpaka zitimie siku nne , hapo utachukua kifungu cha pili na utafanya kama cha kwanza
Utakuwa umetumia dawa hiyo kwa siku nane tuu.
kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.
mizizi hii inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili