KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,515
- 2,808
Habari zenu wakuu,
Nina imani kila moja anaendelea na maisha yake vizuri.
Nina tatizo la kutosikia hamu ya kula na kukinai vyakula mapema. Sometimes naweza hata kuvukisha siku bila kula na njaa nisisikie.
Mwenye kujua hili tatizo either limemtokea yeye au mtu wake wa karbu naomba anieleze njia sahihi ya kuliovercome. Maana inafika wakati ukiwa unakula unajiuliza ndo hivi maishani kwangu kote itakuwa?
Sina vidonda vya tumbo na nahofia kuvipata..