Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kuna nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa kali inayo ambatana na muwasho kama wa tete kuwanga? Hebu tusemezane.
2 Reactions
6 Replies
506 Views
Kwa hiyo tulivo kifikira na tofauti zetu zote zinakuja kutokana na chemikali zinazofanya kazi kwenye maisha yetu, japo primarily tunafanana kwenye uwepo wa hizi KEMIKALI katika miili yetu japo...
1 Reactions
10 Replies
484 Views
Wadau wa afya naomba tofauti ya hivi vipimo MRDT na BS
1 Reactions
14 Replies
761 Views
Habari zenu wana jamvi leo nimekuja kwa unyenyekevu mkubwa ndugu yenu naumwa hlf sijui nini kinanisumbua najua itawashangaza ila na huu ukubwa nilonao sijui naumwa nini ni vile najiskia vibaya...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina Rafiki yangu nilisoma naye primary na nikamliza naye mwaka 1997 ,2009nimemaliza mimi chuo. Baada ya kumaliza Darasa la saba alipangiwa Tanga School(Tanga Tech), alimaliza...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Je wewe ni miongoni mwa watu wanaokwepa maji, kila ukiwaza kuoga unapata uvivu na kuogopa baridi? Kuoga kuna raha yake na kuna manufaa makubwa katika maendeleo ya mwili wa binadamu. Sasa leo hii...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni. Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi...
27 Reactions
189 Replies
6K Views
Wanaume wengi wanatamani kuongeza urefu na upana wa maumbile yao ya uzazi, kutokana na kuathirika kisaikolojia kunakowafanya waamini mabadiliko hayo huongeza uwezo wa kumfikisha mwenza kileleni...
6 Reactions
116 Replies
47K Views
Habari zenu wapendwa, kuna mtoto wa miezi saba anachangamoto ya kupata choo kigumu hadi analia anateseka sana kupata choo na anaweza asipate choo ndani ya siku tatu hadi nne, naombeni ushauri...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka...
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi. Kazi nikiingia kuoga nikitoka...
17 Reactions
89 Replies
4K Views
Habari wakuu, nilikua nakunywa maji nikiwa na kipisi cha toothpick mdomoni, sasa nimekimeza na nahisi kimekwama kooni, nikitaka kunywa maji panakwaruza kuelekea kifuani, inaniogopesha nifanyaje...
5 Reactions
100 Replies
5K Views
Mtoto ana tabia ya kuzimia mara kwa mara hasa akikasilisahwa na wenake au akiwa na njaa, akiZimia anawekewa drip ya glucose ndo anapata fahamu, usipo muewekea drip anaweza kuchukua masaa matutu au...
15 Reactions
87 Replies
3K Views
Tafadhali nakuomba yeyote unayepajua popote penye kero kubwa ya nzi Nijulishe Ili nilete ufumbuzi wa haraka.
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Madaktari mtupe jibu Je ubaridi wa tiles ndani ya nyumba unaweza kusababisha mtu kupooza/stroke?
2 Reactions
5 Replies
549 Views
nini kinafanya mwanamke kuota ndevu
0 Reactions
2 Replies
232 Views
Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini Kwanini siamini 1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge) 2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali...
9 Reactions
118 Replies
5K Views
Heshima kwenu, Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Macho kutoa machozi mara kwa mara (Epiphora). Kazi ya macho ni kulainisha, kusafisha na kulinda jicho, ikiwa yatazalishwa mengi au ikiwa kitu kitayazuia kutoka vizuri - kunaweza kuwa na tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za humu! Kama kuna mtu anasumbuliwa na jino na kupata maumivu makali sana kuna dawa ya kienyeji ambayo utapona ndani ya dk 5 na kuisha tatizo lako. Wahi sasa 0747928158 Nipo Dar
1 Reactions
2 Replies
442 Views
Back
Top Bottom