Ki sayansi najua hii kila mtu anajua kwamba tunapaswa kula mlo uliyo kamili na mlo kamili ni ule ambao huwa na kila kitu ndani yake ukitaka wanga, protin, fat, na etc.
Ila huwa tunashindwa kutokana na sababu ambazo ziko kidogo na nje ya uwezo weru [emoji28]. Of course mwili unahitaji kila aina cha thaman ndani yake ili uweze kujengeka vzuri kwenye kila sekta.
Sometimes watu tunakuwa ni miili isiyokuwa na shape regular unakuta mtu anamwili ambao irregular hii yote ni kutokana na kuto kula vitu muhimu ndani yake ambavo vita mfanya kuwa na mwili mzuri.
Sasa basi kila chakula unachokula mwilini kina faida yake na kazi yake kwa wale ambao tuna simple knowledge tu ya biology ya o level nazani wanaelewa. Kuna topic kaza ivi tulizisoma nadhani pale kuanzia form 3 na 4.
Binadamu anahita kila aina ya virutubisho ndani yake mfano madini ya chumvi, vitamins, carbohydrates na n.k. si lazima ule mlo kamili ila unaweza kuji balance atleast kwa siku hule hata vitatu kwa mfano laba mayai, ugali na kisamvu kidogo na matunda juu.
Sisi mtu unakula chakula ambacho chote ni protein apo lazima utengeneze janga kwenye mwili. Ila matunda ni muhimu sana tena hususa mapalachichi na mapapai.
Kula vyema ndiko kunakufanya mwamaume kuwa na afya na nguvu nyingi za kiume sasa ww unakula chips kweli hzo nguvu unatoa wapi kula vitu kama magimbi, viazi, mihogo na matopetope bro utakuja kunishukuru
Na pia hata kwa wanawake ni hivohivo kula vitu ambavo vita kufanya hizo sehemu zako nyeti kuto kukauka mara kwa mara, ule vitu ambavo vinatengeneza utelezi ndani ya hizo sehemu nyeti za mwili wako, jipatie bamia, fenesi, nyanya ili yo bichi unaitafuna, kula kitungu maji bila kukipika mtakuja kunishukuru hapahapa.
Ndo maana hawa wauza dawa hzi sijui za forever kitu kama hiko, hzo dawa zao ni mchanganyiko tu wa hiz vyakula tunavyo kula ndo maana unakuta bei kwasababu vinagharamiwa sana. Ili kuepekana na hzo gharama kwa nn ww usifanye mwenyewe.
#KNOWLEDGE [emoji817]