Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana. Sababu kuu inayopelekea kujichua ni...
10 Reactions
96 Replies
9K Views
Wakuu Jana nimekutana na dem yupo bleed, Maswali 1. Je naweza kupata risk gani kwa zile damu zake ? 2. Anaweza kupata mimba akiwa kwenye hali ya ku bleed? 3. Vipi kuhusu possibility ya kupata...
3 Reactions
25 Replies
850 Views
Audio: UKIMWI: Hali na Tahadhari Chanzo: Aise wakuu UKIMWI ni noma Habari Wakuu. Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story...
4 Reactions
12 Replies
804 Views
ULTRASOUND NI NINI ? : Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng'aso | Radiology Technologist | Mtaalamu wa Mionzi | Health Educator | Elimu muhimu kuhusu Ultrasound teknolojia salama na isiyo na...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Habar wakuu nauliza.. je Kuna madhara yoyote kwa mtoto wa miaka9 kufanya x ray ya mgongo mara mbili ndani ya siku mbili katika hospital tofaut kama mzazi unataka kuhakikisha maradhi ya mtoto...
1 Reactions
6 Replies
674 Views
Wakuu habari!,nimehamia makazi mapya huku mbezi, lkn toka niingie kwenye hii nyumba tabu tupu, karibu kila Siku lazima tuue tandu. Msaada wenu wadau kwa ajili ya tahadhari. Nasikia mdudu tandu...
1 Reactions
40 Replies
53K Views
Wadau: Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni...
0 Reactions
77 Replies
15K Views
Ni ulemavu unaotokana na mabadiliko ya vinasaba (DNA code) ambapo baadhi ya code au nitrogenous bases zinaundoshwa na kuwekwa zingine hii kwa ulibinism husababishwa na vichocheo kushidwa kusapot...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
Mwayo ni tendo la kufungua mdomo kwa mapana na kuvuta pumzi ndefu polepole, mara nyingi likifuatwa na kutoa sauti ya kawaida. Ni tendo la hiari au lisilo la hiari ambalo hutokea kwa watu na hata...
1 Reactions
4 Replies
349 Views
Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu. Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata...
0 Reactions
6 Replies
753 Views
Chafya ni mfumo wa ulinzi wa mwili kusaidia kuweka njia ya hewa safi. Tunapiga chafya kwa sababu mwili unajaribu kuondoa vitu visivyotakiwa kwenye pua au njia ya hewa, kama vile: 1. Vumbi...
0 Reactions
4 Replies
476 Views
Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?
1 Reactions
57 Replies
35K Views
..
1 Reactions
5 Replies
323 Views
Wakuu habari ya wakati huu. Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana. Msaada tafadhali
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni mda sasa wa mwezi 1 yangu tatizo hili linikute nashindwa kabisa kupata hisia Wala kusimamisha uume pale tu ntapoitaji kushiliki tendo. Nimekuja kugundua kuwa ni hofu nilionayo Moyon mwng ndo...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu habari za leo, Huku tukiendelea kupambana na maisha tukumbuke kuacha kizazi chenye akili sawa sawa! Ubongo ndo kila kitu jamani kwenye maisha ya kiumbe japo vingine havina ubongo lakini...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Habari zenu tafadhali husika na hiyo mada, hofu imenitawala sana kiasi ambacho hata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari Wana JF natumaini muwazima Nyuma ya skio kunakuaga na kitu kama kiarage(tezi ya limfu) Jana katika kukaa nilikuta kimevimba na kabla ya hapo juu ya skio nywele zinapoishia nilipata uvimbe...
1 Reactions
6 Replies
496 Views
Habari za kazi wapendwa! Bila kupoteza muda, naomba msaada wa kujulishwa visababishi vya tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito. (Mimba bado changa - chini ya mwezi mmoja). Je, tatizo hili...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
(Elimu ya Afya – Genesis: Ijue Afya Yako Leo) Moyo ni injini muhimu ya mwili wetu. Lakini je, unajua nini hutokea injini hii inaposhindwa kufanya kazi vizuri? Hapa tunazungumzia Heart Failure...
5 Reactions
9 Replies
721 Views
Back
Top Bottom