Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Mimi ni kijana umri miaka 20, nimekuwa nikipata changamoto ya kutoa majimaji ya sperm pindi nipo kwenye foreplay yani ile na kutomasa tomasa demu najikuta sperm zishaanza kuchuluzika au hata...
19 Reactions
248 Replies
6K Views
Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Tumbo linakata sina mimba ila naharisha sana kichwa kinauma, shida inaweza kuwa ni nini???
2 Reactions
22 Replies
956 Views
IUFD Ni Nini? IUFD ni kifupi cha Intrauterine Fetal Death, au kwa lugha rahisi, kifo cha mtoto tumboni kabla ya kuzaliwa. Hali hii hutokea pale mtoto anapofariki akiwa bado tumboni mwa mama baada...
3 Reactions
0 Replies
688 Views
Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini...
2 Reactions
664 Replies
403K Views
Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Habarini wanajukwaa! Rejea kichwa cha habari hapo juu mm nikijana mpambanaji lakini hilisuala la matatizo ya tumbo linaninyima raha sana, nirudi kwenye maada mimi ninashida ya hao h pylori...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Naanzisha huu uzi kuwasaidia wagonjwa watarajiwa wa Monkey poxy. Ukiona dalili au homa za muda mfupi jitahidi sana ukague mwili wako ukiona kipele (nimeweka picha) mwoneshe daktari haraka sana...
1 Reactions
4 Replies
456 Views
Niaje wajuba! Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje, Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo...
5 Reactions
77 Replies
3K Views
Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
🩺 Elimu ya Afya Leo: Usawa wa Homoni kwa Mwanamke – Hatua ya Maisha na Afya ya Mzunguko wa Hedhi 📲 IG: @hillary_officialtz ❓ Ni Nini Hormonal Imbalance? Ni hali ambapo kiwango cha homoni mwilini...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru. Takwimu mpya zinaonyesha...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Watu wengi huvumilia mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi wanaweza wakawa katika eneo ambalo hawezi kwenda haja ndogo lakini wengine ni uzembe ambapo wengi utakuta anaangalia...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Habari za Asubuhi Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital. Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho. Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na...
0 Reactions
5 Replies
443 Views
Una experience yoyote ya mgonjwa aliyeshawahi patwa na huo ugonjwa? Nishasikia hadithi za kusikitisha na kukatisha tamaa jinsi wakunga wetu Bongo walivyo wazembe kuwasaidia kina mama wanaoshikwa...
1 Reactions
95 Replies
81K Views
Preeclampsia ni nini? Preeclampsia ni tatizo kubwa la ujauzito ambalo linaweza kusababishwa na matatizo kadhaa madogo madogo kutokea yote kwa wakati mmoja. Unaweza kupata shinikizo la damu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana. Sababu kuu inayopelekea kujichua ni...
10 Reactions
96 Replies
9K Views
Back
Top Bottom