relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,470
Wakuu habari!,nimehamia makazi mapya huku mbezi, lkn toka niingie kwenye hii nyumba tabu tupu, karibu kila Siku lazima tuue tandu.
Msaada wenu wadau kwa ajili ya tahadhari. Nasikia mdudu tandu ana sumu Kali zaidi ya nyoka. Je, ikitokea akauma mtu ni lazima muhusika afikishwe hospitali au sumu itapoa yenyewe?
Na je aumapo mtu Tiba mbadala ni ipi msaada maana nimeua tandu watambao na Giza hili naona mmoja kaparamia neti yangu ya msaada.