Msaada: kila asubuhi uume wangu unasimama hadi naumia

Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,495
867
Wadau:
Kila siku asubuhi nikiamka mgegedo wangu huwa unasimama hadi unakuwa mgumu sana halafu unauma sana, Hali hiyo hudumu kwa takribani dakika arobaini hivi halafu inaondoka, dawa Yake ni nini,
Nisaidieni wakuu
 
kwanza weka picha hapa tuthibitishe halafu hali kama hiyo inawakuta watoto wa darasa la saba kama wewe,itaendelea kisha baadae itapotea ,ikiendelea zaidi muonyeshe na umwambie mama akupeleke hospitali
 
Jamani Mimi sio dogo, Nina miaka 24 na miezi mitano sasa
 
Aah unazingua mbona na mim ni hvyo hvyo..unataka ilale ili iweje..ni kawaida..
 
Bwamdogo hiyo nite hali ya kawaida usijali mm inanitokea huchukua lisaa
 
Usiwe unaamka asubuhi.. Jitahidi uwe unaamka mchana au usiku
 
Back
Top Bottom