Kumekua na Changamoto mbalimbali zitokanazo na matumizi ya dawa kwa watu mbalimbali,wengine hujihisi kuwashwa mara baada ya kutumia dawa fulani ,wengine hujihisi kuchoka mara baada ya kutumia dawa...
1. Drink water this morning. Your kidneys will thank you.
2. Eat at least an egg today. Your brain will thank you.
3. Exercise for at least 30 minutes today or take a long walk. Your heart will...
Na Gladness Mallya
Msanii bonge wa filamu Bongo ambaye hivi karibuni alieleza kusumbuliwa na tumbo chini ya kitovu (chango), Efrancyia Mangii ameshauriwa kufanya jitihada za kuzaa ili kuepukana...
Unaweza ku imagine kuishi huku unajua kuna funza wapo hai ndani kabisa ya sikio lako, na wanapata chakula, hewa na mahitaji yote wanayohitaji ili kuishi.
Ufahamu ugonjwa wa OTOMYIASIS...
🧠 Elimu ya Afya Leo: AFYA YA AKILI (Mental Health)
📲 IG: @hillary_officialtz
❓ AFYA YA AKILI NI NINI HASA?
Fikiria afya ya akili kama utulivu wa nafsi. Ni uwezo wako wa ndani wa kukabiliana na...
Kwa mara ya kwanza, dunia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kuidhinishwa kwa tiba maalum ya malaria kwa watoto wachanga na wadogo wenye uzito wa chini ya kilo 4.5...
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya...
🩺 ELIMU YA AFYA KWA JAMII: KISUKARI (DIABETES)
📲 IG: @hillary_officialtz
1. KISUKARI NI NINI?
Fikiria mwili wako kama gari linalohitaji mafuta (sukari kutoka kwenye chakula) ili liweze...
Habar wakuu wapi ntapata daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama kwa Dar iwe private au Serikali
Mke wangu anatatizo tangu wakat wa mimba yamtoto wetu wa tatu,alikua anapata maumivu ya tumbo...
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami...
Habar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa...
Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu...
Habari wakuu. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina Dar es salaam. Anaefahamu please naomba aniambie mahali ilipo. Asanteni
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa...
Habari zenu wanajamvi,
Naomba msaada wa kuujua ugonjwa wa mdudu wa kidole kiundani zaidi, Napenda nijue chanzo chake, matibabu yake na njia za kuepuka ugonjwa huu……!
Shukrani.
Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika
tishu hizo ( Tonsil)
Mabaki hayo...
•Taasisi ya Saratani Ocean ni hospital ya taifa kwa utoaji huduma za saratani hapa Tanzania.
•Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali...
Wakuu salama hapa,
Tangu mwezi wa 1 mwanzoni nilijiskia hali fulani ya kuumwa kichwa nikapima magonjwa mbalimbali hakuna tatizo.
Mdogo wangu akanishauri nipime presha kweli nikakuta nayo ipo...
Habarini wadau ,nilikuwa nimeenda kujisaidia haja ndogo sasa katika haraka haraka za Kuwai nikajibana na zipu ngozi ya chini ya uume na katika kutumia nguvu kutoa nikasababisha msuguano ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.