Nauliza kwamba h. pylori inampataje mtu ambaye anajilinda sana kwenye chakula n.k.? Mtu anayekula kwa wakati kwa mfano usiku anakula kabla ya saa mbili, hatumii sukari (anatumia sukari mbadala...
Dalili hizi, zinazojulikana kitaalamu kama kikohozi sugu , maumivu ya kifua, dyspnea (shida ya kupumua), na uchovu wa kudumu, zinaweza kuashiria magonjwa mbalimbali yanayoathiri mfumo wa upumuaji...
Habari Wana jamii health
Mwenzi uliopita nilikutana nawanamke kimwili nabaada ya 4day nilijihisi nina dalili za urinary infection nakuamua kwenda kupima nae.
Majibu kwa upandewake yalikua 100 na...
Kwa kawaida, mzunguko wa hedhi kwa mwanamke huwa siku 28, kuanzia siku ya kwanza ya hedhi hadi siku ya kwanza ya hedhi inayofuata. Lakini ukweli ni kwamba, mzunguko hutofautiana kati ya mwanamke...
Akili Bandia (AI) imekuwa gumzo kubwa duniani kote, na si ajabu. Uwezo wake wa kuiga akili ya binadamu unaanza kubadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi, hasa katika sekta muhimu kama afya. Ni...
Leo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma.
Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure...
Ndugu zangu napiga namba +255282500513 ambazo zipo kwenye website ya Bugando Hospital sipati msaada haipokelei.
Lengo niende kutibiwa wiki ijayo. Sasa nataka kujua siku ambayo unafika na kumuona...
Naandika hii thread nikiwa nimejiweka karantini, ukiona vipele havieleweki sehemu yoyote ya mwili hasa sehemu za siri nenda haraka hospitali.
Vipele vinakuwa kama vina shimo katikati, pembeni ni...
Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na...
Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo..
hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo..
Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo...
Wakuu habari..
Mtoto wangu alikuwa na changamoto ya kuchelewa kulia tangu alipozaliwa 2022 July, baada ya hapo akawa anapata degedege tukawa tumepeleka kwenye vipimo hospital ya Benjamin Dodoma...
Kuna maradhi Degedege na Kifafa, huwa yanawaingiza Watoto na watu wazima katika hatari, yakionekana kwa sura tofauti, kulingana na hali ya mgonjwa.
Kuna kundi la wanajamii wanaunganisha na...
Ndugu,jamaa na marafiki habarini za wakati huu. Naomba mawazo,ushauri kupitia mada hii ya walio athirika kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Kama mnavyo fahamu wako baadhi ya watanzania...
Natural, organic skin care remedies can replace most of the cosmetic and pharmaceuticals skin care products we buy and do a better job of protecting and healing skin. The skin is the largest organ...
Maelezo haya yameegemea katika upande wa nadhari ya HIV/AIDS kwamba ni nadharia ambayo ni ya uongo/utapeli. Maelezo haya hayatolewi kama ushauri au maelekezo ya kitabibu.
Mleta maelezo haya...
‘’Kwa mwanaume, kulazimisha kukojoa wakati hana haja ya mkojo husababisha hali inayofanana na hisia zinazotokea wakati wa kumwaga manii."
Nambari za simu
+255742069695
Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus...
Kunywa juice ya mkaa (hasa mkaa wa miti au activated charcoal) ni jambo ambalo limekuwa likifanywa na watu kwa sababu za kiafya, lakini linaweza kuwa na faida na madhara, kulingana na namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.