Ni mwanamke mtu mzima 43 years.
Alipata miscarriage 3.
Akawa hapati tena ujauzito.
Sasa amepata tena ila dalili sio njema.
Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili.
Gino...
Kutokea uzoefu wa elimu ya mimea tiba na uhusiano wake na elimu ya viungo vya mwili vilipo(Anatomy) na elimu ya mwili unavofanya kazi (Physiology), Huu ni muunganiko wa maarifa mengi yaliyo katika...
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines...
Hii kitu iko.
Au unakuta Mwanamke anamchukia Baba Kijacho au kumchukia/Kumpenda Mtu mwingine. Au kupenda na kuchukia vitu.
Hii inaweza kuelezeka , kwasababu ya Hormonal changes.
Ila sasa, Je...
CONSTPATION NI NINI ?
Hili ni Tatizo la kutopata Kwa Muda Mrefu au" Kupata Mara Chache
Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka , Kwa...
Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma...
Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia
Kwahiyo...
Naombeni ushauri wenu wa mawazo wakuu mara kadhaa nimekuja humu kuomba ushauri na msaada kwa yeyote anaejua dawa ya kutibu vidonda vya tumbo lakini haikusaidia dawa nilitumia mno Ila...
Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025.
Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo...
Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza...
Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC...
Wasaalam
Kuna rafiki yangu alipata ujauzito wakati bado hajajigundua, mume wake ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa haukuonekana...
Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali...
GLP-TZ is an investigational peptide compound being studied for its potential role in weight management, blood sugar regulation, and metabolic health.
GLP-TZ is generally described as a GLP-1...