Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wadau nauliza ni umri gani mtoto mdogo anafaa kupewa maji ya kunywa?
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Je ni kawaida mtoto akiwa anataka kunyonya kila wakati? Mwanangu ana mwezi mmoja tu lakini kasi yake ya kunyonya kila mara inatisha,je hii ni sahihi? Alafu kulala kwake ni mara chache mno Uzuri ni...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
TEXT NECK SYNDROME huambatana na 1. Maumivu ya misuli ya shingo 2. Maumivu ya kichwa 3. Maumivu ya bega 4. Ganzi sehemu za mikono endapo tatizo litapokuwa kubwa CHANZO CHAKE Mikao mibaya...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari waganguzi wetu kama kichwa cha chapisho kinavyosema, mimi ni kijana ninamke na ameshika mimba yake ya kwanza kwasasa mimba ina mwezi wa tatu na kila anachokula anatapika mpaka sasa anahisi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuna mtu ambae ni HIV+ anaishi China, anatumia dawa za kitengo. Amekuja likizo Tanzania aliwafahamisha ndugu wa karibu tatizo lake. Wakati huo CD4 level zake zilikuwa kati ya 450-480. Ni bahati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Elimu kuhusu mama mjamzito wakati wa mimba hadi wakati wa kujifungua. Uliza swali lako madactari watatoa majibu. PV Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
57 Replies
10K Views
Habari wapendwa humu mijadala mizuri nimefurahia kujumuika nanyi
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaaam waungwana Msaada Tafadhari[emoji120][emoji120][emoji120];Nina tatizo kwenye ngozi ya mwili wangu,badhi ya maeneo yamepoteza rangi yake yamekuwq na rangi mpaka nywele nazo zimekua kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Nauliza, eti hivi kuna mazoezi bora ya mwili kama kukimbia? Mi nimejaribu kufanya mazoezi ya aina mbalimbali ila nikagundua kukimbia ni bora kuliko mazoezi mengine yeyote kwa afya ya...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nina mpenzi wangu ana hamu ya mtoto sio masihara na bahati nzuri au mbaya kakutana na mimi mpenda watoto. Ila bahati yetu sijui mbaya au nzuri tunakwichi kwichi ovyo hadi danger days ila hamna...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana jf jukwaa hili, mimi nina mchumba wangu naamini ndo atakuja kuwa mwenza wangu nilimtoa bikra mwezi uliopita na tukaendela na tendo ila shida yake ni moja huwa anasema anapata maumivu...
2 Reactions
31 Replies
17K Views
Kama nilivyoelezea kwenye mada zilizopita, mchezo huu unatumika sana katika mapenzi ya sasa, watoto wa mjini wana usemi wao kwa kitu kilichovuma kuwa ‘ndiyo habari ya mjini’ Mchezo huu umekuwa...
4 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu na wajuzi naombeni ushauri juu ya hili tatizo wakati wa tendo analalamika kuhisi pili pili kuta za nje za uke hata kama maandalizi kabla ya tendo yamekuwepo. Pengine akasema ni muda wa miezi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
'Linea nigra' (mstari mweusi"), ambao mara nyingi hujulikana kama mstari wa ujauzito, kwa kawaida unaoonekana kwenye tumbo. Ni mstari unaopita wima katikati ya tumbo kutoka eneo la chini hadi...
1 Reactions
14 Replies
31K Views
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikijishika uume wangu nauhisi kama umekuwa mkubwa kuliko miaka ya nyuma toka nilipokuwa mdogo nakiri nilipokuwa mdogo na hata nakumbuka miaka 12 iliyopita uume...
4 Reactions
90 Replies
15K Views
Tendo la ndoa ni mazoezi mazuri, unatumia misuli yako yote kulingana na mkao (Position), shughuli zinazohusika (activities engaged) na mfumo wako wa moyo unapata mazoezi bora. Hii inaunguza kalori...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua ni hospital gani ambayo inayo icho kipimo na cost ake ni tsh ngapi ? Kwa sasa nipo mafinga ikiwa hospital ya jirani na nilipo itafaa zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
unprejudiced Hakuna Majournalist Tanzania wote ni walala hoi. Mambo ya wakina Menina ndizo story zao. Wakina Millard Ayo na wakina Mayalla ni wapuuzi watupu. Kazi zao ni kuandika mambo ya udaku...
2 Reactions
0 Replies
614 Views
Hapa kuna vikovu vyeusi vimeota vilikuwa vidogo vikakua ,hiki kingine kilikuwa kimoja lakini kinakuwa kama kinajigawa
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kila Mara ninapofanya mazoezi ya viungo asubuhi nikimaliza nasikia kusinzia.Leo hali hii ilinitokea pia nikaondoka kwenda kutembea ili usingizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…