Maji kwa mtoto mdogo

Maji kwa mtoto mdogo

Sky amejibu vizuri mno. Rule of thumb ni umpe mwanao maziwa mpaka miezi sita bila kumpa maji. Hili jibu linakufaa kama wewe ni mama wa nyumbani na unanyonyesha mtoto full kila siku kwa miezi sita.

Kama wewe ni mfanyakazi, miezi mitatu au nne baada ya uzazi utaweza kufanya hivyo. Ila baada ya hapo, kama unakaa gongo la mboto na unafanya kazi mjini, niwe mkweli itakuwa ngumu sana kumpa nyonyo kwa wakati.

Kama mama umeacha maziwa ya kukamua na yameisha ukiwa bado upo kazini, fanya plan b ya kupata maziwa ya mtoto, lakini pia maji yaliyochemshwa na kupoa yatasaidia kutoa kwikwi ya mtoto, angalau kijiko kimoja kidogo cha chai au viwili.

Karibuni tujadili.
Wadau nauliza ni umri gani mtoto mdogo anafaa kupewa maji ya kunywa?
 
Nashukuru kwa ufafanuzi

Back
Top Bottom