Matatizo kufanya mapenzi kinyume na jinsia

Lavan Island

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
2,377
2,041
Kama nilivyoelezea kwenye mada zilizopita, mchezo huu unatumika sana katika mapenzi ya sasa, watoto wa mjini wana usemi wao kwa kitu kilichovuma kuwa ‘ndiyo habari ya mjini’

Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).

Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.

Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kuangalia ni wa mwanaume mwenzake au wa mwanamke.

Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:

1. Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
2. Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
3. Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
4. Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
5. Kuharisha.
6. Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).
7. Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.

Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.

Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo. Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha.
 
hizi shida zote ni matokeo ya Mabadiliko ya Mwanaume



Miaka 2000. Kurudi chini...mwanaume alipenda Tabia..aiseee unaambiwa wanawake walikua wanajitunza sana kitabia.


Miaka 2005 wanaume wakaamia kwenye Rangi nyeupe.... Hapa wanawake wakaanza kujichubua sanaaa.

Miaka ya 2010 wanaume wakaamia kwenye makalio makubwa... Kuanzia hapo wanawake wakaanza kutumia mchina kujaza makalio.

Miaka ya 2015 kama utani vile... Mwanaume akaanza kutaman kula Tigo, akatamani, hatimaye wanawake nao wakaamua kubadilika nakuanza kudhania kutoa Tigo ni kumkamata mwanaume.

Ndo.mpaka wa leo watu wanasodomoana na gomora.
 
Mimi mpaka hapa sijaona madhara ya kutisha kabisa kumfanya mtu aache.
Labda kama kuna kingine cha ziada zaidi haujakiorodhesha hapo, ila kama ni hayo hayo, sioni jipya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom