Tendo la ndoa ni mazoezi

Tendo la ndoa ni mazoezi

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
114
Reaction score
172
Tendo la ndoa ni mazoezi mazuri, unatumia misuli yako yote kulingana na mkao (Position), shughuli zinazohusika (activities engaged) na mfumo wako wa moyo unapata mazoezi bora. Hii inaunguza kalori nyingi, na mwili wako utahitaji kujaza sukari yake iliyopungua. Mwili wako unajibu hitaji hili kwa kukuambia kuwa una njaa, kukuhimiza kula na kubadilisha sukari iliyopotea baada ya tendo la ndoa. Ikiwa hutaki kula baada ya kufanya ngono (sipendi kula baada ya kufanya ngono) kuna vinywaji ambavyo vitajaza kiwango cha sukari ya mwili wako. Kinywaji kama vile 'Red Bull'.

images (60).jpg
 
Back
Top Bottom