Nikifanya Mazoezi Asubuhi Nikimaliza Nasikia Usingizi

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Kila Mara ninapofanya mazoezi ya viungo asubuhi nikimaliza nasikia kusinzia.Leo hali hii ilinitokea pia nikaondoka kwenda kutembea ili usingizi uondoke.Niliporudi nyumbani usingizi bado upo.Hii hali ikoje ,Je ni kawaida mtu kusinzia baada ya kufanya mazoezi?
 
Sijasema unakitambi mkuuu. Ila it seeems ndio umeanza maziez iyo ni hali ya kawaida ukiwa una anza.

Mimi kuna miaka niliachaga mazoez siku ya kwanza kufanya mazoez nililala kuanzia saa 2 paka sa nne asubuh fofofo mchana pia ni kusinzia but after a couple of days nkawa fresh tuu
Mkuu Kitambi kinahusikaje na usingizi kwenye mazoezi?Unaweza nielezea kwa sababu za kitabibu.
 
Sijasema unakitambi mkuuu. Ila it seeems ndio umeanza maziez iyo ni hali ya kawaida ukiwa una anza.

Mimi kuna miaka niliachaga mazoez siku ya kwanza kufanya mazoez nililala kuanzia saa 2 paka sa nne asubuh fofofo mchana pia ni kusinzia but after a couple of days nkawa fresh tuu
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom