Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Kuna mtu ambae ni HIV+ anaishi China, anatumia dawa za kitengo. Amekuja likizo Tanzania aliwafahamisha ndugu wa karibu tatizo lake. Wakati huo CD4 level zake zilikuwa kati ya 450-480. Ni bahati sana kwa HIV+ kuwa na CD4 zaidi ya 500.
Ndugu hawakustuka, walimletea dawa ya mizizi kutoka Mbulu. Hii dawa ni dose tatu na kila dose ni mwezi mmoja. Unachemsha mizizi na kunywa kama chai. Asubuhi, mchana na jioni lazima umalize kikombe cha heshima.
Baada ya likizo kuisha amerudi China. Amepima damu CD4 zimefika 700. Hata madaktari wanaomtibu wameshangaa.