da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
Je ni kawaida mtoto akiwa anataka kunyonya kila wakati? Mwanangu ana mwezi mmoja tu lakini kasi yake ya kunyonya kila mara inatisha,je hii ni sahihi?
Alafu kulala kwake ni mara chache mno
Uzuri ni kuwa ana afya njema na mchangamfu utadhani ni wa miez mitatu
Alafu kulala kwake ni mara chache mno
Uzuri ni kuwa ana afya njema na mchangamfu utadhani ni wa miez mitatu