Mimi nakushahuri tu mshitikishe Mungu katika maisha yako ya ndoa, kwan mm sikujui na wala simjui mkewako na sijui ni kwann alitengeneza mchepuko huo.
Kwan pia ni kweli UZINIFU Umekuwa tatizo kubwa na dhambi kubwa kwa watu wengi.
Mshirikishe Mungu, fanya maombi,
Pia kama wew ni mkristo unaweza kwenda kwa watumish wa dini watakushahur vema kwa mahojiano mazuri ya ana kwa ana.
Pia swala la wew kukaa na mke wako akisha jifungua linawezekana, na mkaendelea kukaa kama mume na mke
Na kufanya tendo kama kawaida,
Kwan kimaandiko, yani neno la Mungu
Halisemi kuwa wew unaweza kumdhuri mtoto huyo wa nje wa ndo, wew umeunganishwa na Mungu na wew huyo ni mke wako tu.
Kilichounganishwa na Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app