Hili ni tatizo gani kiafya

Hili ni tatizo gani kiafya

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,410
Reaction score
21,131
Hapa kuna vikovu vyeusi vimeota vilikuwa vidogo vikakua ,hiki kingine kilikuwa kimoja lakini kinakuwa kama kinajigawa
20190930_204612.jpeg
 
Hapa kuna vikovu vyeusi vimeota vilikuwa vidogo vikakua ,hiki kingine kilikuwa kimoja lakini kinakuwa kama kinajigawa
View attachment 1220044
Labda ulikula kitu hakiendani na mwili wako, aidha upime minyoo, au ulipira sehemu kuna baadhi ya vijidudu ambukizi vya magonjwa ya ngozi au ni mchafuko wa damu. Ushauri zaidi mwone Dk.
 
Nashukuru mkuu kwa muongozo wako
 
Back
Top Bottom