Ni njia gani itakayotusaidia kupata mtoto (ujauzito)?

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,935
22,919
Nina mpenzi wangu ana hamu ya mtoto sio masihara na bahati nzuri au mbaya kakutana na mimi mpenda watoto.

Ila bahati yetu sijui mbaya au nzuri tunakwichi kwichi ovyo hadi danger days ila hamna mtu kushika mimba.

Imefikia wakati hadi huyu mpenzi wangu ananiambia (yeye ni mgumba sijui) nikamwambia hapana hauwezi kuwa mgumba bwana. Anasema yeye ni mgumba kwa sababu ananijua mimi ni (single father) nina watoto wawili huko nje, so ana uhakika kabisa tatizo atakuwa nalo yeye na sio mimi. Sasa mimi namtia moyo sana na sasa hivi tushafanya kama mchezo ku kwichi kwich.

Sehemu yeyote mahali popote siku yoyote sisi twende.

SWALI:
Kuna njia gani rahisi itakayotusaidia kupata mtoto kwa haraka zaidi au kama ni kukwich kwich tupendelee kutumia muda gani mzuri?

Tunapomaliza kukwichi kwichi huwa lazima tukaoge na tunapooga lazima huyu mpenzi wangu ajisafishe vizuri na akojoe. Nasikia wanasema mwanamke akimaliza kufanya mapenzi akienda kukojoa anaflash sperm zote so uwezekano wa yeye kushika mimba unakuwa 0.9%.

Nini tufanye?

Nini tusifanye?

Naombeni ushauri wenu kwa kina maana nipo zangu hapa nakunywa supu ya PWEZA muda wote nipo tayari kwa mashambulizi.
 
Kwanza mkuu ili kupata ujauzito kuna mambo muhimu ya kuzingatia;

1. Kujamiana siku za hatari kwa mwanamke
Ninaposema siku za hatari kwa mwanamke namaanisha siku ya 12-14 ( ovulation) toka alipoingia mwezini( menstruation period).
Ila sasa kwa usongo wa kutafuta mtoto anzeni siku ya 9-15 ( from wet days to ovulation window).

2. Staili ya tendo pendwa

Staili yoyote inaeza mpa ujauzito mwanamke provided yupo kwwnye ovulation ila sasa ili kuongeza chance ya kupata mtoto zaidi missionary position( a.k.a kifo cha mende) is the best position.

Pia mkishamaliza pumzikeni kidogo ndo mkaoge ili wale jamaa waogelee vizuri kuelekea kwa falopian tube kusubiria kurutubisha yai.

All the best mkuu
 
asante mkuu

hapa kwenye siku ya 12-14 naaanza kuhesabu anapoanza period tu

au naanza hesabu sku ambayo amemaliza period???
 
Nasikia wanasema mwanamke akimaliza kufanya mapenzi akienda kukojoa anaflash sperm zote so uwezekano wa yeye kushika mimba unakuwa 0.9%.

Mkuu njia ya mkojo (mfumo wa mwanamke) haihusiani kabisa na shahawa, akojoe lita zote haibadili kitu.... kuna factors nyingi za kuzingatia katika uumbaji au huenda siku yake bado tu.
 
Wewe ni nani hata ubishane naye kuhusu ugumba, kwako ugumba ni kitu kigeni mno..!!
Hata kama angekua Mgumba kweli na vipimo vimeonyesha ni MGUMBA

nisingekaa hata siku moja nimkubalie kua yeye ni mgumba,nisingeacha kumpa MOYO mpk naingia kaburini

Yeye kuniambia ni Mgumba maana yake amejikatia TAMAA na mimi kama mpenzi wake siwezi ruhusu mwanamke wangu

akate tamaa mbele yangu,nitampa moyo mpaka tone la MWISHO.

Wewe ni nani hata ubishane naye kuhusu ugumba?

Mimi ni Mpenzi wake/Mume wake
 
Back
Top Bottom