untold servant
Member
- Jul 13, 2019
- 20
- 4
Habari waganguzi wetu kama kichwa cha chapisho kinavyosema, mimi ni kijana ninamke na ameshika mimba yake ya kwanza kwasasa mimba ina mwezi wa tatu na kila anachokula anatapika mpaka sasa anahisi mchubuko kooni mwake, je itakuwa ni tatizo gani na vipi tiba yake, na kama sio tatizo hali hii huwa inachukua muda gani?
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani