Msaada: Napata maumivu kwa mbali kiunoni upande wa kushoto

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Habari wana jukwaa,

Kuna kipindi nilikuwa naumwa sana kiuno, nikaenda kupima mkojo kuangalia kama nina tatizo la kibofu na mfumo mzima ya mkojo.

Majibu yalipotoka nikaonekana nina UTI nyingi sana, nikaanza kitumia dawa Azuma hali ikakaa fresh yale maumivu yaliondoka.

Sasa hivi karibuni nahisi maumivu tena japo sio makali, kiunoni upande wa kushoto.

Je, hili linaweza kuwa tatizo gani naombeni ushauri wa kitaalamu.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom